Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi kweli Xabi Alonso tuliye naye Chelsea ndiye yule yule wa Leverkuseni invisible? au tumeingizwa chaka na SD?
Tumpe muda, angalau hata kuna mpira unaonaonekana unachezwa, kuna baadhi ya wachezaji tu ndio wanamlet down. Kina Fofana mamaee yule tuliuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Tumpe muda, angalau hata kuna mpira unaonaonekana unachezwa, kuna baadhi ya wachezaji tu ndio wanamlet down. Kina Fofana mamaee yule tuliuziwa mbuzi kwenye gunia.
Kwenye mechi gani huo mpira ulionekana tumecheza? Huyu kocha hakuna hata mechi moja tuliocheza mpira wa kueleweka hata ukianzia mechi za pre season
 
Back
Top Bottom