Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Biashara inakwenda vizuri. Faida inaonekana. Hao walioenda kwa mkopo dirisha lijalo la usajili tutawauza permanent.

Next:- Madueke, Neto, Sancho, Sanchez, Fofona, James, KDH, Nkunku, Tosin, Badiashile

Tutanunua makinda 28 wa kureplace hao.
🤣🤣
 
Moisés Caicedo amekamilisha pasi nyingi kwenda kwenye eneo la wapinzani kuliko mchezaji mwingine yeyote kwenye Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu (157).

Upigaji pasi wake unaonyesha maendeleo bora. Kiungo kamili kama huyo anaweza kupasi,, kukabiliana na adui, kushinda kuwania mipira ya juu na chini.

Hakuna mtu anayezungumzia bei yake sasa kwa sababu anastahili kila senti. Na pia mchanga bado.

Huwezi tumia pesa nyingi kwa wachezaji anayetumia muda mwingi hospitalini kuliko uwanjani.
1738855115307.png
 
View attachment 3227019
Sasa PSG walete £150M Kwa caicedo.
 
Cole Palmer, Trevoh Chalobah na mchezaji mpya aliyesajiliwa Mathis Amougou wameongezwa kwenye kikosi cha Chelsea cha Ligi ya Europa Conference A squad.

Walioondolewa kwenye 'A squad': Disasi, Veiga, Casadei, Chukwuemeka na Felix

Walioondolewa kwenye 'kikosi B': Merrick na Vale

Romeo Lavia na Wesley Fofana wameondolewa tena kutokana na majeraha

UECL Team

1738959062599.png

Walioondolewa
1738959074420.png
 
Brighton VS Chelsea
Formation: 4-2-3-1
Lineup

-----------------Nkunku-----------------

Sancho----------Palmer-----------Neto

-------KDH ----------------Caicedo------

Cucurella --Chalobah--Tosin--Gusto

---------------Sanchez -------------
Bench
1) Jorgensen
2) Colwill
3) Anselmino
4) Samuels-Smith
5) Josh Acheampong
6) Amougou
7) Tyrique George
8) Enzo
9) Madueke
 
Back
Top Bottom