Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajaamini ,muache kichwa kikitulia ataaminiShida iko wapi kwani? Au unadhani wamechukua ubingwa kwa ushindi wa mezani? Hukuwaona walivyo pambana kiasi cha kuwatoa Atletico Madrid na Real Madrid! Achilia mbali Porto!!
Chelsea ndiyo Bingwa! Na kwa hilo, binafsi nawapongeza sana.
Sina shaka mleta uzi huu, ni TAGA. Wamezoea KUCHAKACHUA kila sehemu, hata pasipo CHAKACHULIKA!Hata kama sio sahihi sasa unataka tujadili nini hapa?