Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Mwaka huu Chelsea itakufanya uokote makopo. Pole sana. Naona dish limeshakaa tenge sana! Vumilia tu hivyo ndivyo soka lilivyo.Swali zuri sana;
Wamepewa ubingwa na Guardiola, unajisifu vipi kumtoa Atletico Madrid na Real Madrid ya wazee na Man City iliyopanga kikosi dhaifu.
Mpira wa kileo kutopanga kiungo mkabaji ni sawa na kulala mlango wazi usiku.
Guardiola kawapa zawadi kubwa sana, mumjengee sanamu pale nje Stamford Bridge.
Sent using Jamii Forums mobile app