Swali zuri sana;
Wamepewa ubingwa na Guardiola, unajisifu vipi kumtoa Atletico Madrid na Real Madrid ya wazee na Man City iliyopanga kikosi dhaifu.
Mpira wa kileo kutopanga kiungo mkabaji ni sawa na kulala mlango wazi usiku.
Guardiola kawapa zawadi kubwa sana, mumjengee sanamu pale nje Stamford Bridge.