Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
ππππkama nchi bado tuna safari ndefu sana
Haahaa hatari..
Ni jambo jema
Ilimchukua yeye muda mrefu kufikia uwezo huo
Nafuatilia hotuba kabambe ya MamaHujapeleka ugali gerezani?
bora niliwahi hamia burundiππππ
Kweli kabisa hizo ndio sera za chama Cha ccm? hawaoni aibu?,
kwani sasa hivi wanakuwa hawajui kusoma na kuandika. Mbona toka chekechea wanajua hata kuongea lugha za kigeni, hesabu
Mgombea hivi ndio vipaumbele vyakekwani sasa hivi wanakuwa hawajui kusoma na kuandika. Mbona toka chekechea wanajua hata kuongea lugha za kigeni, hesabu