Diwani Cheo kikubwa labda Mwenyekiti wa kijiji.Hayo mambo yalitakiwa kuongelewa na madiwani na sio mtu level ya urais
Udiwani Viti maalumu. 😂😂😂😂Kwani anagombea uraisi au udiwani?
😂😂😂😂😂Hizi K Vant zipigwe marufuku sasa jamani.
Kwahiyo la kwanza itakuwa nini
Naunga mkono hojaHayo mambo yalitakiwa kuongelewa na madiwani na sio mtu level ya urais
Mjionee wenyewe tukisema sisi wengine wanasema tunamsingizia, hapa kuna tofauti ndogo sana kati yake na chawa wake Lucas MwashambwaThere is something very wrong somewhere kama ni kweli
Kwa sauti ya odo kutoka ngamianiHizi K Vant zipigwe marufuku sasa jamani.
Odo kamdomo kalimponza ila alichosema ni kweli na ushahidi ndiyo kama huu tunaoshuhudia majukwaani na huu ni mwanzo tu ataumbuka sana huko mbele ya safari.Kwa sauti ya odo kutoka ngamiani
La 3 au chekechea..?