GE2025 Chemba: Hotuba ya Mgombea Urais kupitia CCM Dkt Samia yatikisa, Wananchi walipuka kwa Shangwe

GE2025 Chemba: Hotuba ya Mgombea Urais kupitia CCM Dkt Samia yatikisa, Wananchi walipuka kwa Shangwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani hawajui?

Hii inapaswa iwekwe kwa mtoto wa darasa la kwanza...

Nilijua kuandika na kuanza kusoma sijaenda darasa la kwanza. Siku hizi mpaka darasa la tatu hawajui kusoma na kuandika?
Wanaenda kufanya nini shuleni?
 
kwani sasa hivi wanakuwa hawajui kusoma na kuandika. Mbona toka chekechea wanajua hata kuongea lugha za kigeni, hesabu
Wanatafuta njia za kuhalalisha kuwa na Wabunge wao walio ishia darasa la 3 lakini wakijua kusoma na kuandika tuu wanawapitisha.
Baada ya mwaka 2035 CCM itabaki na wanachama wengi zaidi walio ishia la 3, maana hata la 7 watajitambua na kuwakimbia.
 
Hakika nyumbu wa lissu wamepatwa na mhaho, wanahaha vibaya. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, ni lidude limoja likuuubwa sana. Akiwa anakula basi kachembe kake (kuteleza kwa ulimi) basi huwa ni msosi mkuuuubwa sana wa hivi vijitu vidogo (nyumbu) na hufurahia balaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tunaomba maoni yako kuhusu sera hii kabambe ya Mgombea
Mimi nafikiri ww ujamuelewa Rais kwanini kaongea vile!!

Nijuavyo mm kuna maeneo upewa kipaumbele kwasababu kadhaa kama eneo tajwa kuwa nyuma sana kielimu au jambo lengine !!!

kwaiyo kunakuwa na mkakati kwanzia Taifa kuakikisha eneo tajwa linakuwa sawa na maeneo mengine ndio icho Rais kakiongea apo.!!!

Sawa na rufuji kuna wakati pia ilipewa kipaumbele kwenye Elimu kwaiyo Rais kuliongelea nisehemu ya mikakati pangwa
kufanya wazazi wajue uzito wa jambo tajwa✍️

October 28 tunatiki asubui asubui.✅️
 
Nilijua kuandika na kuanza kusoma sijaenda darasa la kwanza. Siku hizi mpaka darasa la tatu hawajui kusoma na kuandika?
Wanaenda kufanya nini shuleni?

Ndio mambo ya kushangaza na hapo mtaala wa elimu mpya mwisho wa elimu ya msingi ni darasa la 6...

Sasa ina maana mwanafunzi hadi anafika halftime ya elimu ya msingi bado anapambana na kusoma, kuandika na kuhesabu 😅, hatari sana...
 
Ndio mambo ya kushangaza na hapo mtaala wa elimu mpya mwisho wa elimu ya msingi ni darasa la 6...

Sasa ina maana mwanafunzi hadi anagika halftime ya elimu ya msingi bado anapambana na kusoma, kuandika na kuhesabu 😅, hatari sana...

Halafu baadae wanaenda kusema wasahishaji mitihani wanakata majina ya dini fulani tu....kumbe hatuwekezi ipasavyo watu waelimike
 
Anajua mazingira ya shule zetu hasa za msingi? Yeye aliipenda elimu? Alifaulu vyema? Si alifeli hata form four akaungaunga sio. Nalazima maths alikula F yanguvu🤣.
Kiongozi ngazi yajuu inafaa awe ameonesha mafanikio yajuu kielimu,kijamii,kibiashara/kilimo awe na exposure muda mrefu etc.
sio mke watatu wamtu kutoka uswazi huko mara paaap anaproject nchi/taifa liende wapi😭
Poor Tz kampeni nikuuza vijimaneno badala ya kuonesha ubunifu,uelewa,umakini na usahihi katika kuendelea mambo ya Nchi.
Ndomana tuu maskini na tutazidi kuwa maskini maana tunaujinga mwingi na hatuwezi kuhoji critically Bali nikusifu na kushangilia kama wehu!
 
Samiee......vs mwajuma vs salum khaaaaa......
 
Back
Top Bottom