Duuuu! Kwahiyo darasa 1 na 2 ni sawa tu akiputa bila kuandika kusoma na kuhesabu
Kwani hawajui?
Hii inapaswa iwekwe kwa mtoto wa darasa la kwanza...
Mtu yuko peke yake ana shida gani atoe maahadi magumu wakati keshashindaMgombea hivi ndio vipaumbele vyake
La 3La 3 au chekechea..?
Mwajuma wa UMDAnashindana na nani huyo bi Mwenda.?
Inabidi tuwaandalie mdahalo.Mwajuma wa UMD
Aisee, akili ya Kizanzibar tumeletewa huku Tanganyika, kazi tunayo😂
NaamHapo watu walipiga makofi kwa mgombea
La kwanza ni kubembea tu na kunywa uji shule....Kwahiyo la kwanza itakuwa nini
Tunaomba maoni yako kuhusu sera hii kabambe ya MgombeaWapinzani kukosa jambo la kukosoa wanaweza kuumwa mwili wote!!
mpizani ni mpizani wewe gawa pesa kwao watapokea !!!
lkn ktk wao Shuklan ipo kidogo ya kinafiki!!
vijembe pia vipo utasikia lkn pesa zetu izi sio zako😳😳😳😳😳 tumewazoea muhimu tu wanapenda Amani yetu sote✍️✍
Daah huyu bibi ana uwezo mdogo sana!"Tuna mpango maalum wa kufanya mtoto wetu wa Kitanzania, akifika darasa la Tatu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu bila shida ili aweze kwenda vizuri madarasa ya juu." - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Chemba, Dodoma.
Sasa unadhani Chemba ni DSM au Kyela?"Tuna mpango maalum wa kufanya mtoto wetu wa Kitanzania, akifika darasa la Tatu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu bila shida ili aweze kwenda vizuri madarasa ya juu." - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Chemba, Dodoma.