FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%.
Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji;
Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo
TANESCO
=============================
Update: 22/11/2021
MAJI HAYAJAPUNGUA, NI KANYABOYA cc: TANESCO
www.jamiiforums.com

Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji
Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini. Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado...