Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%.

Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji;

Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo

TANESCO
069CAF6F-5B30-4ED4-8FD1-B406968FE55C.jpeg
 
Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%.

Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji;

Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo

TANESCO
bila kuwa na total volume ya maji iliokuepo. it is a waste of time and mind
 
Kupungua kwa level ya maji ndio kunakoathiri uzalishaji, sio quantity (volume) ya maji, maji hata yawe mengi vipi (mfano bahari, ni mengi ila at lower level) , kama hayajafikia level husika huwezi kuzalisha hata Megawatt moja ya umeme. Hence %ntage ya kupungua kwa umeme unaozalishwa una akisi moja kwa moja %ntage ya kupungua kwa nguvu ya msukumo wa maji /level ya maji
 
Type of turbine ???? Francis or pelton wheel etc. Power equation of turbine ie relation of output power to water pressure(head). Given power reduction calculate pressure drop in metres. Easy does it.
 
Assume factors zote ni constant, na uzalishaji wa umeme una akisi moja kwa moja kiwango cha msukumo/ level ya maji
 
Back
Top Bottom