Chemsha bongo: Kusafiri baba na mtoto wa kike wa miaka 10

Chemsha bongo: Kusafiri baba na mtoto wa kike wa miaka 10

Ushasema mtoto ndugu yangu.Hata angekuwa na miaka 24 tafuta room moja lala pamoja kama wewe ni baba kweli wa mtoto.Chuchu zake saa sita kukuchoma mgongoni hiyo si kaz yako kuziwazia waachie wapenz wake
Weeee thubutu,binti yangu wa kumzaa asikie vijambo vyangu,maana usiku huwa tunajiachia sana kidogo tu mbuuuuuu Mbagala hiyo
 
Na kwanini msafiri peke yenu?! Nenda na mama ake hata mkilala chumba kimoja nyote sawa, dunia imevaa bikini hii usitake kutafuta matatizo...
 
Back
Top Bottom