Itakua imedondoka![h=6]Nguo inauzwa sh 10,000 we huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh 5000 na kwa kaka sh
5000 ukapata sh 10,000. Ukaenda ukapatana na kununua kwa sh 9,700 ukarudishiwa sh 300. Ukaamua kupunguza deni. Ukatoa sh 100 kwa kaka ... na sh 100 kwa dada, ukabaki na sh 100. Hivyo ukawa unadeni kwa kaka 4900 na kwa dada 4900, ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
kwako inakua 9,900. JE 100 IMEKWENDA WAPI??[/h]
mmmh. kazi kwenu St. Kayumba/Kata
Hili swali limekua kero sasa, kila uchao watu wakilala wakiamka wanaedit maneno ili waonekane wao nondo kumbe wapi, ni kopi pest kwa kwenda mbele. Tunashukuru kwa hii tabia.
[h=6]Nguo inauzwa sh 10,000 we huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh 5000 na kwa kaka sh
5000 ukapata sh 10,000. Ukaenda ukapatana na kununua kwa sh 9,700 ukarudishiwa sh 300. Ukaamua kupunguza deni. Ukatoa sh 100 kwa kaka ... na sh 100 kwa dada, ukabaki na sh 100. Hivyo ukawa unadeni kwa kaka 4900 na kwa dada 4900, ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
kwako inakua 9,900. JE 100 IMEKWENDA WAPI??[/h]
Bei ya nguo ni 9700 +200 ya kaka na dada +100 uliyobakiwa nayo =10000