Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
CHEMSHA AKILI NA HII
Nguo inauzwa sh.10000,we huna pesa
ukaamua kukopa kwa dada yako
sh.5000 na kwa kaka sh.5000 ukapata
sh.10000.
Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700 ukarudishiwa
sh.300.Ukaamua kupunguza deni
hivyo ukatoa sh.100 kwa kaka na
sh.100 kwa dada na ukabaki na
sh.100 hivyo ukabakiwa na deni la
sh.4900 kwa kaka na sh.4900 kwa dada.ukijumlisha unapata sh.9800
ukiongeza na ile mia ya kwako
unapata sh.9900.JE MIA IMEKWENDA
WAPI? Kazi kwenu wakuu.
sasa kama ulikopeshwa sh 10000 na katika hiyo hiyo hela yao ukarudisha sh 200. inamaana ulikopesha sh 9800/= sawa? yaani ulirudisha sh 100 kwa kaka na sh 100 kwa dada. so hela unayodaiwa ni sh 9800. ukanunua nguo kwa sh 9700. lakini wewe unadaiwa sh 9800 na una mia nenda katafute sh 9700 jumlish na hiyo mia lipa deni. kwanini unaongeza mia niliyobakinayo unatakiwa kutoa. yaani 9800-100 unapata 9700 na ndo deni lako jipya. usijumlishe 9800 na mia NONONONOOOOOOOOOO umekosea hesabu. fanya 9800 ndo deni sasa kama unapunguza tena inamaana unawapa ile mia uliyobaki nayo na deni linabaki kuwa 9700.
CHEMSHA AKILI NA HII
Nguo inauzwa sh.10000,we
huna pesa ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na kwa
kaka sh.5000 ukapata sh.10000.
Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni hivyo ukatoa
sh.100 kwa kaka na sh.100 kwa
dada na ukabaki na sh.100
hivyo ukabakiwa na deni la sh.4900 kwa kaka na sh.4900
kwa dada.ukijumlisha unapata
sh.9800 ukiongeza na ile mia ya
kwako unapata sh.4900.JE MIA
IMEKWENDA WAPI?