Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Sasa utakwendaje kwanza duka la nguo ilihali wewe huna hela halafu nasumbua watu kuwakopa. Teh teh teh teh teeeeeeh, nini povu linataka kukutoka wakati hapa ni jukwaa la utani
 
Mtego katika hili swali ni kwamba,ukijumlisha madeni unapata jibu lisilo sahihi.Hivyo unapaswa ujumlishe hela na sio madeni
 
Juma alikwenda dukani kununua shati akaambiwa ni T.sh 10000,kwa kua alikua hana hiyo hela alirudi nyumbani akakopa kwa wadogo zake wawili kila mmoja T.sh 5000,5000 akapata ile fedha...alipokwenda dukani kwa mara ya pili akamrubuni mwenye duka akamwuzia shati kwa 9700,so akabakiwa na T.sh 300/=....aliporudi nyumbani akawapa wa dogo zake kila mmoja T.sh 100,100 akabakiwa na100...kwa hiyo wale wakawa wanamdai 4900 kila mmoja! sasa 4900 x 2 =9800 +ile 100 ya mkononi inakua 9900/= sasa ile mia nyingine imeenda wapi? nisaidieni wadau wa hesabu
 
Mmmmh hapo sasa!! Ila haka kaswali ni kepesi sana ila muda huu wengi tumechoka
 
CHEMSHA AKILI NA HII
Nguo inauzwa sh.10000,we huna pesa
ukaamua kukopa kwa dada yako
sh.5000 na kwa kaka sh.5000 ukapata
sh.10000.
Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700 ukarudishiwa
sh.300.Ukaamua kupunguza deni
hivyo ukatoa sh.100 kwa kaka na
sh.100 kwa dada na ukabaki na
sh.100 hivyo ukabakiwa na deni la
sh.4900 kwa kaka na sh.4900 kwa dada.ukijumlisha unapata sh.9800
ukiongeza na ile mia ya kwako
unapata sh.9900.JE MIA IMEKWENDA
WAPI? Kazi kwenu wakuu.
 
sasa kama ulikopeshwa sh 10000 na katika hiyo hiyo hela yao ukarudisha sh 200. inamaana ulikopesha sh 9800/= sawa? yaani ulirudisha sh 100 kwa kaka na sh 100 kwa dada. so hela unayodaiwa ni sh 9800. ukanunua nguo kwa sh 9700. lakini wewe unadaiwa sh 9800 na una mia nenda katafute sh 9700 jumlish na hiyo mia lipa deni. kwanini unaongeza mia niliyobakinayo unatakiwa kutoa. yaani 9800-100 unapata 9700 na ndo deni lako jipya. usijumlishe 9800 na mia NONONONOOOOOOOOOO umekosea hesabu. fanya 9800 ndo deni sasa kama unapunguza tena inamaana unawapa ile mia uliyobaki nayo na deni linabaki kuwa 9700.
 
Great thinker _/ vema
 
ngoja tuunde tume huru itakayo ongozwa na mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali kuona hiyo mia iko wapi
 
CHEMSHA AKILI NA HII

Nguo inauzwa sh.10000,we
huna pesa ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na kwa
kaka sh.5000 ukapata sh.10000.
Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni hivyo ukatoa
sh.100 kwa kaka na sh.100 kwa
dada na ukabaki na sh.100
hivyo ukabakiwa na deni la sh.4900 kwa kaka na sh.4900
kwa dada.ukijumlisha unapata
sh.9800 ukiongeza na ile mia ya
kwako unapata sh.4900.JE MIA
IMEKWENDA WAPI?
 
hela zao mpaka unanunua kwa 9700 ulikuwa na deni la4850 kwa kila mtu kwa hiyo kama umewapa mia kila mtu inakuwa 4950 kwa hiyo ukiongeza na ile 100 gawanya kwa mbili deni limeisha.
 
CHEMSHA AKILI NA HII

Nguo inauzwa sh.10000,we
huna pesa ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na kwa
kaka sh.5000 ukapata sh.10000.
Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni hivyo ukatoa
sh.100 kwa kaka na sh.100 kwa
dada na ukabaki na sh.100
hivyo ukabakiwa na deni la sh.4900 kwa kaka na sh.4900
kwa dada.ukijumlisha unapata
sh.9800 ukiongeza na ile mia ya
kwako unapata sh.4900
.JE MIA
IMEKWENDA WAPI?

edit your post kwnz...... ukijumlisha 9800 na mia unapata 9900........ fanya hvy kisha ujibiwe.......
 
Gud trial lakini umejichemsha bongo, maana umejiconfuse

  • :yawn:
 
Jamani nisaidieni kusolve puzzle hili:

Nguo inauzwa sh. 10,000/= Kwa kuwa huna pesa, ukaamua kukopa
kwa dada yako sh.5000 na
kwa kaka sh. 5000, ukapata
hiyo Sh.10,000. Ukaenda ukapatana na muuzaji na kuinunua kwa sh. 9,700,
ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
kupunguza deni. Ukatoa sh.100
kwa kaka na 100 kwa
dada,ukabaki na 100.Hivyo
ikawa una deni kwa kaka 4900 na kwa dada
4900. Ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
kwako inakua 9900. JE 100
inayokosekana ili ifike 10,000 uliyokopa imekwenda wapi?
 
:biggrin1: nimependa hili swali lako..ngoja nikachukua kalamu na karatasi nianze kupiga akili..napenda such questions
 
Back
Top Bottom