Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Chemsha bongo: Shilingi 100 iko wapi?

Hivi hapa mkekani pamekua na udhaifu kiaje?
Pa kushindwa ku'create new quiz ?
Hili swali kukicha linarejea hapa! Au mnaagizwa na wataalamujadi mtuletee ?
 
Hivi hapa mkekani pamekua na udhaifu kiaje?
Pa kushindwa ku'create new quiz ?
Hili swali kukicha linarejea hapa! Au mnaagizwa na wataalamujadi mtuletee ?

Bora uulize wewe mkuu. Nikiuliza mie naambiwa nna wivu wa kike.
 
Mi nilikwepa hesabu,ngoja waliosoma maths waje wa2pe majawabu.
 
hamjui bana ndo mana mnazuga

Hili quiz lishaulizwaga sana hapa na majibu yake yanafahamika. Tungeweza kumjibu kama alitaka ajibiwe. Tatizo swali ni maalum kwa wanaogombea u-miss chit-chat ambao kwa bahati mbaya sana wote wana allergy na hisabati.
 
unauliza swali kama nani? muandaaji wa miss cc au mdhamini, naomba kujua hilo kwanza ndipo nijibu swali lako tafadhali. .
 
unauliza swali kama nani? muandaaji wa miss cc au mdhamini, naomba kujua hilo kwanza ndipo nijibu swali lako tafadhali. .

Mwambie akupigie kura kwanza ndo umjibie kiswali chake cha darasa la sita
 
Hili quiz lishaulizwaga sana hapa na majibu yake yanafahamika. Tungeweza kumjibu kama alitaka ajibiwe. Tatizo swali ni maalum kwa wanaogombea u-miss chit-chat ambao kwa bahati mbaya sana wote wana allergy na hisabati.

kumbe wana alej na hisabat ndo mana unawatetea?
 
Naomba utuambie wewe ni nani katika haya mashindano? Na tukipatia wote, je??
 
Shosti Anita Baby hebu mpigie ciello kura kwanza then tutaangalia utaratibu wa kujibu swal lako......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom