Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

Jibu ni 10000 ndo hasara coz ulienda kuomba chenji kwa jirani akakupa elfu kumi ya chenji zen kwenye hiyo elfu kumi ya chenji uka MPA elfu nane mteja ukabakiwa na buku mbili, ambayo ndo hela ya mkate ukaweka kwenye kopo lako la pesa , then akaja jirani kudai pesa ake ,ukachukua elfu nane kwenye kopo la pesa ulouza Jana plus ile elfu mbili ya mkate ulouza Leo ukampa jirani hela yake ambayo jumla ya hasara ni elfu kumi ......wwwoooooyooooo nimepata nipe zawadi yangu
 
libashiteees
 
we ndo libashite kweli......sasa hyo elfu nane ya mauzo ya jana ulochukua kwny kopo we huoni kama umeshaharibu mahesabu ya mapato ya siku.........
 
we ndo libashite kweli......sasa hyo elfu nane ya mauzo ya jana ulochukua kwny kopo we huoni kama umeshaharibu mahesabu ya mapato ya siku.........
Tatizo unatumia tumbo kufikiri kama pacha wako bashite hyo ndo hasara sasa elfu nane na ile buku mbili ya mkate jumla buku ten ........we hautakiwi upewe ata kibarua cha kuuza maji ya kandolo duuh
 
tehe...teh... kwa haraka haraka wengi tungefeli tuwe wakweli kama hii quez ingefanyika kihalali kama zile za professor assad maswali matano dakika 2. ndani ya sec 24 wengi majibu ikengekuwa pua!
 
Hapo hasara ni 20000 ( 2000thaman ya mkate+ 8000 chenji +10000kumrudishia jiran =20000)
 
 
Tatizo unatumia tumbo kufikiri kama pacha wako bashite hyo ndo hasara sasa elfu nane na ile buku mbili ya mkate jumla buku ten ........we hautakiwi upewe ata kibarua cha kuuza maji ya kandolo duuh
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umenichekesha sana aisee
 
Kwanza ule mkate tuseme bei yake ya kiwandani ilikuwa ni tsh 1500/=,muuza duka akaweka faida ya tsh 500/= hapo ndipo akapata bei ya tsh 2000/=

sasa ili upate hasara inatakiwa uuze ule mkate kwa bei ya chini kuliko ile bei uliyonunua kiwandani,na ili upate faida ilitakiwa uuze ule mkate kwa bei ya tsh 2000/=ikiwa na maana umeongeza mia tano ambayo ndio faida yako.

Sasa yule muuza duka alipokea tsh 10000/= ya bandia halafu akaenda kubadilishana na tsh 10000/= halali,akaja akampa chenji yule jamaa tapeli ya tsh 8000/= na mkate wenye thamani ya tsh 1500/=(ni kweli ule mkate ulitakiwa kuuzwa kwa tsh 2000/= lakini kwakua bado ulikuwa haujauzwa basi thamani yake ni ile ile ya kiwandani ambayo ni tsh 1500/= hatuwezi kuijumlisha na ile faida ya 500/= tuliotegemea kuipata kwasababu bado tulikuwa hatujaipata na huwezi kuhesabu kitu kama faida kama bado hujakipata).

baada ya hapo wewe unabaki na tsh 2000/= lakini hii tsh 2000/= huwezi kuihesabu kwasababu sio yako ni ya yule jamaa aliyekupa chenji,

sasa anakuja kukudai unarudishia hela yake wewe unabaki empty. Sasa hasara yako wewe ni ule mkate wenye thamani ya 1500/= na ile elfu nane jumla hapo ni 8000+1500=9500/= hasara yako wewe ni tsh 9500/=.
 
Mkate Tsh 2,000
Chenji ya bure uliyempa mteja Tsh. 8,000

Fedha uliyemlipa / uliyerudisha kwa jirani Tsh. 10,000(Haipo kwenye hasara kwa kuwa alikupa fedha yake halali hivyo inarudi)

Jumla hasara Tsh.10,000

Jibu: C
 
Daaaah katika wote walio changia you made my day...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…