Avion
Member
- Dec 25, 2016
- 33
- 24
Jibu ni 10000 ndo hasara coz ulienda kuomba chenji kwa jirani akakupa elfu kumi ya chenji zen kwenye hiyo elfu kumi ya chenji uka MPA elfu nane mteja ukabakiwa na buku mbili, ambayo ndo hela ya mkate ukaweka kwenye kopo lako la pesa , then akaja jirani kudai pesa ake ,ukachukua elfu nane kwenye kopo la pesa ulouza Jana plus ile elfu mbili ya mkate ulouza Leo ukampa jirani hela yake ambayo jumla ya hasara ni elfu kumi ......wwwoooooyooooo nimepata nipe zawadi yangu