Umejibu kwa mbwembwe halafu utumbo mtupuKwanza ile 10,000 feki haina thamani au thamani yake ni 0. Jirani amewekwa kwenye swali ili achanganye akili tu lakini kwa kuwa alitoa change ya 10,000 na baadae akarudishiwa 10,000 yake tunaweza tukamtoa kwenye swali.
Kwa hyo kama mteja akitoa 10,000 feki, ukampa mkate wa thamani ya 2,000 na chenji ya 8,000, maana yake umepata hasara ya 10,000 haijalishi change umetoa wapi.
Hivyo jibu ni (C)10,000.
Waliofeli hisabati utawajua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hasara roho! Pesa makaratasi
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji23]Waliofeli hisabati utawajua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
BuziTata kwenye hiyo elfu 20000 toa 2000 ambazo mwenye duka alibaki nayo kwenye ile 10000 alyoichukua kwa jirani maana alimpa yule tapeli sh. Elfu nane tu, na yeye akabaki na hiyo 2 000.hivyo hasara ni sh. 18000Umejibu kwa mbwembwe halafu utumbo mtupu
Tapeli umempa 8000 muuza duka umempa 10000 orijino sio feki kama ulopewa mkate nao bei ni 2000....yan hapo kwa maana nyingine umelipa deni uloachiwa na mteja LA hela feki pia umemuongezea cha juu
Jumla utakua umepigwa 20000/= bila huruma
8000+2000+10000=20000Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000
B. 18,000
C. 10,000
D. 20,000
E. 8,000
F. 2,000
Jaribu
ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA
zuzuHasara jumla sh 20,000
Sh 2,000 bei ya mkate, sh 8,000 chenji kwa mteja na sh 10,000 kumlipa jirani
jibu ni C- Hasara (8000 plus Mkate wa 2000)Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?
A. 12,000
B. 18,000
C. 10,000
D. 20,000
E. 8,000
F. 2,000
Jaribu
ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA
Wewe ndio bashite,Bashite
Chemsha bongo yako tuonezuzu