Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

D.

1. 8000/= ya change uliompa mteja

2. 2000/= ya thamani ya mkate uliomuuzia mteja

3. 10000/= uliomrudishia jirani baada ya kubaini ulimpa hela fake wakati wa kutafuta change.
 
Jibu elfu 18.mnunuzi kaondoka tu na elfu 8. Thamani ya mkate aliouchukua usiihesabie kwa sababu tayari mwuzaji ameishakata elfu 2 zake na anazo mfukoni mwake. Sasa jumlishia elfu kumi alizotoa tena kwa jirani jumla ni elfu 18
 
Kwanza ile 10,000 feki haina thamani au thamani yake ni 0. Jirani amewekwa kwenye swali ili achanganye akili tu lakini kwa kuwa alitoa change ya 10,000 na baadae akarudishiwa 10,000 yake tunaweza tukamtoa kwenye swali.

Kwa hyo kama mteja akitoa 10,000 feki, ukampa mkate wa thamani ya 2,000 na chenji ya 8,000, maana yake umepata hasara ya 10,000 haijalishi change umetoa wapi.

Hivyo jibu ni (C)10,000.
Umejibu kwa mbwembwe halafu utumbo mtupu

Tapeli umempa 8000 muuza duka umempa 10000 orijino sio feki kama ulopewa mkate nao bei ni 2000....yan hapo kwa maana nyingine umelipa deni uloachiwa na mteja LA hela feki pia umemuongezea cha juu

Jumla utakua umepigwa 20000/= bila huruma
 
"Vita dhidi ya madawa ya kulevya hajawahi kumuacha mtu salama"

Hili ndiyo jawabu langu.
 
Waliofeli hisabati utawajua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji23]
 
Umejibu kwa mbwembwe halafu utumbo mtupu

Tapeli umempa 8000 muuza duka umempa 10000 orijino sio feki kama ulopewa mkate nao bei ni 2000....yan hapo kwa maana nyingine umelipa deni uloachiwa na mteja LA hela feki pia umemuongezea cha juu

Jumla utakua umepigwa 20000/= bila huruma
BuziTata kwenye hiyo elfu 20000 toa 2000 ambazo mwenye duka alibaki nayo kwenye ile 10000 alyoichukua kwa jirani maana alimpa yule tapeli sh. Elfu nane tu, na yeye akabaki na hiyo 2 000.hivyo hasara ni sh. 18000
 
Wewe ni muuzaji wa duka, mteja anakuja na shilingi elfu Kumi (10,000/-) feki anataka Mkate wa shilingi 2,000/- ...wewe bila kujua unaipokea lakini unagundua hauna change ya kumpa mteja unaamua kuomba change kwa jirani yako na hiyo hiyo 10,000 feki kisha unamrudishia mteja shilingi elfu nane (8,000/-) na mkate, baadae jirani anakuja kukuambia ile pesa uliyompa ni feki unaamua kuichukua na kumpa shilingi 10,000/- halali. Je, utakuwa umepata hasara ya shilingi ngapi?

A. 12,000

B. 18,000

C. 10,000

D. 20,000

E. 8,000

F. 2,000

Jaribu

ELEZEA JIBU LAKO KWA KINA
8000+2000+10000=20000
 
jibu ni C- Hasara (8000 plus Mkate wa 2000)
 
Hasara ulipata ni sh 8000/= na mkate wa 2000/= jumla 10000/=
 
Wewe ndio bashite,
Mtu katapeliwa kwa kupewa elfu kumi feki,
Baada ya kumrudishia pesa jirani yake sh alfu kumi kutoka kwenye mtaji wake,
Ukijumlisha elfu mbili ya mkate na chenji ya sh elfu nane unapata sh elfu ishirini,

Rudi shule
 
Back
Top Bottom