Haya ndo madhara ya kuwa na mbumbumbu wengi Bungeni, tuliendekeza ushabiki tukaacha kuwapa Wapinzani Ubunge sasa tunajionea nchi inapelekwa jinsi majizi yanavyotaka, 2025 Watanzania tuamke,tuwachague Wabunge radical ili watusemee mjengoniDuh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
CCM wanajipa viti wenyewe.... Hawajali umempigia kura nani. Mahela na team yake wanapokea maelekezo tu.Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Wewe umesema na wapewe tu wabunge wa upinzani sababu hakuna watetezi wa watumishi mm ndugu yangu kapata mshutuko alichokiona ni siri yakeDuh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Tatizo si mwigulu ni Boss wake.Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap
Si kweli tatizo ni mkubwa wake tu anatekeleza maagizo ya juuWatu wengi hawajui Hili Mwigulu ni waziri wa fedha ambae ndie huumiza Watanzania ...mtu akijua hili hawez kumpenda huyo jamaa
Kwani nani huwa anawapigia kura?Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Mbona nyingi sana ndugu yangu kaongezewa 18000 tunimeongezwa 55,000
Ndo maana unaitwa fisiWanaoandika humu ni wajinga wasio na kazi serikalini. Tumeridhika kwanza ametimiza ahadi ya kuongeza hata kama ni kidogo. Tulikaa miaka 7 bila hata ahadi.
Asante Mama tuna imani kikubwa kitakuja. MaCHADEMA kakimbieni barabarani.
Manake huo mgomo serikali na wao hautawaathiri, na hivyo ni kuwatesa wadanganyika tuHakuna mwalimu atagoma Tanzania hii chief
kweli ni nyingi kaka mm nashukuru sema wapotoishaji ni wengi ww mtu ana mshahara wa mil 2,000,000+ analia kuongezewa elfu 20000Mbona nyingi sana ndugu yangu kaongezewa 18000 tu
Kwani yeye hajui?Mama anachonganishwa aisee, Anawekewa mazingira Magumy 2025 asitobeo yuko Circled na watu wanaotaka kiti chake
Kwani nani alishawahi kugoma nchi hii akafanikiwa? Nitajie haraka. Maana mmezidi kuwaonea Walimu kama vile nyie ni vidume kumbe mavi tupu.Hakuna mwalimu atagoma Tanzania hii chief
Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap