Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

Kiukweli hii wiki tutasikia na kuona mengi.

Japo mwisho wa siku ndo imeshatoka hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Haya ndo madhara ya kuwa na mbumbumbu wengi Bungeni, tuliendekeza ushabiki tukaacha kuwapa Wapinzani Ubunge sasa tunajionea nchi inapelekwa jinsi majizi yanavyotaka, 2025 Watanzania tuamke,tuwachague Wabunge radical ili watusemee mjengoni
 
Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
CCM wanajipa viti wenyewe.... Hawajali umempigia kura nani. Mahela na team yake wanapokea maelekezo tu.
 
Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Wewe umesema na wapewe tu wabunge wa upinzani sababu hakuna watetezi wa watumishi mm ndugu yangu kapata mshutuko alichokiona ni siri yake
 
Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap
Tatizo si mwigulu ni Boss wake.
 
Watu wengi hawajui Hili Mwigulu ni waziri wa fedha ambae ndie huumiza Watanzania ...mtu akijua hili hawez kumpenda huyo jamaa
Si kweli tatizo ni mkubwa wake tu anatekeleza maagizo ya juu
 
Wanaoandika humu ni wajinga wasio na kazi serikalini. Tumeridhika kwanza ametimiza ahadi ya kuongeza hata kama ni kidogo. Tulikaa miaka 7 bila hata ahadi.
Asante Mama tuna imani kikubwa kitakuja. MaCHADEMA kakimbieni barabarani.
 
Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Kwani nani huwa anawapigia kura?

Hao wasiopata huu mshahara ndio wanafurahi wakisikia mmeminnywa na ndio watajitokeza kupiga kura kwa wingi
 
Wanaoandika humu ni wajinga wasio na kazi serikalini. Tumeridhika kwanza ametimiza ahadi ya kuongeza hata kama ni kidogo. Tulikaa miaka 7 bila hata ahadi.
Asante Mama tuna imani kikubwa kitakuja. MaCHADEMA kakimbieni barabarani.
Ndo maana unaitwa fisi
 
Wewe mtu katoka kuchunga Ng'ombe na Punda Singida akaja mjini kusoma na akaajiriwa kimchongo Bengi kubwa na baadaye apipopata mtaji wa kununua Jimbo akanunua,alafu unampa kuwa Waziri wa hela kwa experience na exposure gani!!.Nchi ngumu sana hii!!
 
Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap

Na nasikia kaleta tozo tena mpya ya kila muamala wa kuchukua hela bank iwe ndani counter, ATM, TIss, n.k hela nyingi kuliko wanazotoza bank wenyewe siku zote [emoji24][emoji24]

Wakati gharama za maisha zikipanda kila siku afadhali ya jana bila huruma wanaongeza kuchukua hela za wananchi [emoji24]

Kwa kila muamala ukichukua hela utakatwa.

Kwa msingi upi ?

Kwa hiyo turudi kwenye ujima tuache kutumia huduma za ki-bank ili kuepukana na makato ?
 
Back
Top Bottom