Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasikia ajali ilipotokea mh alifuatwa na gari ingine kupelekwa hm, na polisi wawili waliletwa na taxi kuja kulinda gari yake mpaka ilipochukuliwa na breakdown, kumbe aliwapa taarifa nao wakamwambia mh. kapumzike tunashughulikia, kwahiyo system ilijuwa na wakapanga iweje, ik mwenyewe amesema alikuwa akidrive kati ya 80-100 km,si tayari ameshavunja sheria? lakini tuiache system ifanye kazi kama inavyofanya.
- Hapana kukimbia a scene of accident inatakiwa kuwa kosa kubwa sana kuliko hata la kugonga, hilo kosa peke yake linatakiwa kumpeleka jela kabla ya ku-sort out mengine baadaye.
FMES!
Zingatia pia sheria inasemaje. Anatakiwa awe amereport within 24 hours baada ya ajali na kiwe kituo chochote cha polisi. Baada ya hapo anakuwa na kosa lingine la kujibu. Hii ni kwa sababu za usalama wake kama kuna hatari ya kusababisha usalama wake kuwa hatarini
Hii ni kweli, kwani hata polisi wenyewe wanashauri dereva unapogonga usisimame maana wananchi wenye hasira wanaweza kukuua - this is what I am talking about - things are not balck and white kama huko majuu there are other factors. We have to do something kuhusu usalama barabarani.
Cha kushangaza zaidi gari la Mh,Chenge alilopata nalo ajali lilikuwa halina insurance ya mwaka huu kwani aliyokuwa aikitumia ni ya mwaka 2007 ambayomtayari muda wake umeshaisha zaidi ya miaka 2.
![]()
What Are you Talking about
Kwa vyovyote vile itabidi yeye ndio alipe fidia ya mali na hao watu aliowaua k
good comment mkubwa.....hapa bongo haifuatiliwi kabisa.......distance kati ya gari na gari ni masikitiko......wabongo tukiwa kwenye mgari tuna haraka..........lakini maendeleo yetu haya-reflect haraka zetu hata kidogo
Hali zenu... Ajali ni ajali lakini hapo hata kama itakuwa bwana mkubwa chenge amefanya kosa basi,utaambiwa kwamba bajaj ndo yenye makosa,wakati tayari kuna habari zimejitokeza kama ni kweli kuwa vijisent alikuwa amelewa na alikuwa anadrive yeye mwenyewe.. sasa subirini unafiki wa polisi muone... ITAPINDISHWA TU.....................
Insurance imeexpire 2007
Motor vehicle licence imexpire 2008
Mzee vjCents kaishiwa au kiburi che vjcent
hivi sheria inasemaje kuhusu kuendesha gari halina ?motor vehicle licence
Insurance imeexpire 2007
Motor vehicle licence imexpire 2008
Mzee vjCents kaishiwa au kiburi che vjcent
hivi sheria inasemaje kuhusu kuendesha gari halina ?motor vehicle licence
Sheria za usalama barabarani zipo lakini sidhani kama zinafatwa.