Cheo hiki kikubwa lazima kiheshimiwe sio kila aliyeshiba maharage tu awe anakitaja ovyo ovyo!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.

Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.

Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.

Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo.

Uzoefu huo pengine ndio ulizaa neno na harakati za the so called democracy.

Hii haimaanishi nguvu ,imani,uwezo,ulinzi na muujiza aliotunukiwa kiongozi unaweza kubezwa tu.
pasipo uongozi lazima mtaparanganyika sana na uingozi sio chocolate ya kugawiwa tu uongozi ni something special!

Demokrasia imekuja kujaribu kuregulate some of the issues related to Uongozi ila haijaja kuwa mbadala wa Uongozi.

Kama una imani au hata kama huna imani you must respect ultmate powers ziwe za kiutu ,kijamii au kiroho.
Hii ni sad but truth.

Hata iwe kanisani yupo askofu ambaye ana neno la mwisho hata kama waumini hatulipendi...Je tumtukane au tumtishe au tufanye uasi dhidi ya Askofu??...big no..sanasana tutasali mno mambo yakae sawa.

Hata huko mataifa ya nje waliotuletea the so called democracy kuna kiongozi wao ambaye ultmately anadictate decisions.

Hata Kwa baba Mwenyezi Mungu aliiweka mipaka isiyohojiwa na aghalabu tumefundishwa kuwa ni Mungu mwenye wivu,asiyetaka jina lake litajwe hivyo na mwenye kuhitaji heshima kuu...tunafuata kwa kuwa tunaamini lakini pia tunafahamu uwezo wake mkuu...ni kwa nini tusidai haki kwa Mwenyezi muumba kwamba hatutaki kifo ??kwa kuwa sio fair??

UHURU UNA MIPAKA !!
Nisiwachoshe sana lakini ni vyema kutambua ukuu wa cheo cha Urais...ni vyema tukaifuta tabia chafu na inayotaka kukua kwenye jamii yetu eti kila mla plama akiwa na handasi anaitisha Press,au anashika kipaza kwenye jukwaa anaanza kumuongelea Mhe.Rais atakavyo ili tu aonekane ni shujaa.

Sina uwezo kwa sasa kulifuta hili lakini ni bora niliseme na siku inshaalah Mungu akinipa uwezo wa kuwa kwenye nafasi ya kuliamulia nitaliamulia kwa mtazamo huu .

Wote wanaojishaua kutajataja jina la Rais ni muhimu wawe wamejipanga na wapate baraka hizo kutoka kwa umma.

Kumuadress Rais wa URT unahitaji taarifa za kina sana kutoka maeneo mengi sana...kwani yeye anapotoa neno lake huwa amerifiwa na Wengi mno pengine sio watu tu hadi "viumbe"
Take care and be humble when you even think of addressing the authority.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.
Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.
Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.
Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo.
uzoefu huo pengine ndio ulizaa neno na harakati za the so called democracy.

kumuadress Rais wa URT unahitaji taarifa za kina sana kutoka maeneo mengi sana...kwani yeye anapotoa neno lake huwa amerifiwa na Wengi mno pengine sio watu tu hadi "viumbe"
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hata kikivurunda?
 
Hiyo nafasi kwa sasa inamfaa Dotto Magari! Kwa sababu ushahidi unaonesha hata mwendawazimu, au kilaza aliyefeli mitihani anaweza kuishika! Tofauti kabisa na mtazamo wa Mwanafalsafa Plato aliyeamini kwa Golden Boys tu kushika hayo mamlaka.
 
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.

Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.

Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.

Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo.

Uzoefu huo pengine ndio ulizaa neno na harakati za the so called democracy.

Hii haimaanishi nguvu ,imani,uwezo,ulinzi na muujiza aliotunukiwa kiongozi unaweza kubezwa tu.
pasipo uongozi lazima mtaparanganyika sana na uingozi sio chocolate ya kugawiwa tu uongozi ni something special!

Demokrasia imekuja kujaribu kuregulate some of the issues related to Uongozi ila haijaja kuwa mbadala wa Uongozi.

Kama una imani au hata kama huna imani you must respect ultmate powers ziwe za kiutu ,kijamii au kiroho.
Hii ni sad but truth.

Hata iwe kanisani yupo askofu ambaye ana neno la mwisho hata kama waumini hatulipendi...Je tumtukane au tumtishe au tufanye uasi dhidi ya Askofu??...big no..sanasana tutasali mno mambo yakae sawa.

Hata huko mataifa ya nje waliotuletea the so called democracy kuna kiongozi wao ambaye ultmately anadictate decisions.

Hata Kwa baba Mwenyezi Mungu aliiweka mipaka isiyohojiwa na aghalabu tumefundishwa kuwa ni Mungu mwenye wivu,asiyetaka jina lake litajwe hivyo na mwenye kuhitaji heshima kuu...tunafuata kwa kuwa tunaamini lakini pia tunafahamu uwezo wake mkuu...ni kwa nini tusidai haki kwa Mwenyezi muumba kwamba hatutaki kifo ??kwa kuwa sio fair??

UHURU UNA MIPAKA !!
Nisiwachoshe sana lakini ni vyema kutambua ukuu wa cheo cha Urais...ni vyema tukaifuta tabia chafu na inayotaka kukua kwenye jamii yetu eti kila mla plama akiwa na handasi anaitisha Press,au anashika kipaza kwenye jukwaa anaanza kumuongelea Mhe.Rais atakavyo ili tu aonekane ni shujaa.

Sina uwezo kwa sasa kulifuta hili lakini ni bora niliseme na siku inshaalah Mungu akinipa uwezo wa kuwa kwenye nafasi ya kuliamulia nitaliamulia kwa mtazamo huu .

Wote wanaojishaua kutajataja jina la Rais ni muhimu wawe wamejipanga na wapate baraka hizo kutoka kwa umma.

Kumuadress Rais wa URT unahitaji taarifa za kina sana kutoka maeneo mengi sana...kwani yeye anapotoa neno lake huwa amerifiwa na Wengi mno pengine sio watu tu hadi "viumbe"

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
nadhani, watanzania ifike mahali wajue mtu yeyote aliye na cheo hapa nchini ameajiriwa na watanzania na ni sisi tunampa mshahara kwa kodi zetu. sio kwamba anatusaidia, tumemweka atufanyie kazi, na kwa naman hiyo sisi ndio maboss wake, yeye sio mungu mtu. tofautisheni kabisa nchi inayotawaliwa na mfalme na rais. ukienda morocco, saudia etc mfalme ni mkubwa na chochote anafanya hata kama cha kijinga unatii, ila sio kwenye nchi kama zetu. acheni ujinga.
 
Alikwambia nani kilamamlaka inatoka kwa mungu
 
Mnatumia nguvu kubwa Sana kuwatia watu(Watanganyika)ujinga..then mnjikuta nyie ndio waninga. Huo Huo uongozi(uongozi) unayesema ni mamlaka toka kwa Mungu,Ni uongozi upi huo,au dio huo wa mafisadi ya kuiba na kujilimbikizia mali za uma, utekaji,ubakaji,mauwaji,kuwasingizia wengine kesi..nk.Uongoz wenu Ni mamlaka toka kwashetwani(Lusifer) ambaye ndiye baba wa maovu mnayoyatenda
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Hata wewe
 
nadhani, watanzania ifike mahali wajue mtu yeyote aliye na cheo hapa nchini ameajiriwa na watanzania na ni sisi tunampa mshahara kwa kodi zetu. sio kwamba anatusaidia, tumemweka atufanyie kazi, na kwa naman hiyo sisi ndio maboss wake, yeye sio mungu mtu. tofautisheni kabisa nchi inayotawaliwa na mfalme na rais. ukienda morocco, saudia etc mfalme ni mkubwa na chochote anafanya hata kama cha kijinga unatii, ila sio kwenye nchi kama zetu. acheni ujinga.
kwani Rais halipi kodi?wewe unalipa kodi kuliko Rais au mawaziri?kulipa kwako kodi ni sawasawa na utumishi anaoutoa Rais kwa watanzania?umewahi kulipa kodi kwa kazi anayoifanya Rais??Rais amekulipa kiasi gani kutokana na kodi yako?
 
Mnatumia nguvu kubwa Sana kuwatia watu(Watanganyika)ujinga..then mnjikuta nyie ndio waninga. Huo Huo uongozi(uongozi) unayesema ni mamlaka toka kwa Mungu,Ni uongozi upi huo,au dio huo wa mafisadi ya kuiba na kujilimbikizia mali za uma, utekaji,ubakaji,mauwaji,kuwasingizia wengine kesi..nk.Uongoz wenu Ni mamlaka toka kwashetwani(Lusifer) ambaye ndiye baba wa maovu mnayoyatenda
kwani ubakaji umeanza leo?
 
nadhani, watanzania ifike mahali wajue mtu yeyote aliye na cheo hapa nchini ameajiriwa na watanzania na ni sisi tunampa mshahara kwa kodi zetu. sio kwamba anatusaidia, tumemweka atufanyie kazi, na kwa naman hiyo sisi ndio maboss wake, yeye sio mungu mtu. tofautisheni kabisa nchi inayotawaliwa na mfalme na rais. ukienda morocco, saudia etc mfalme ni mkubwa na chochote anafanya hata kama cha kijinga unatii, ila sio kwenye nchi kama zetu. acheni ujinga.
Point mkuu. Ila cheo Cha urais kwetu ni sawa tu Cha kifalme kimamlaka. Ila kina utofauti kwenye ukomo na si Cha kiukoo.
Maana kimamlaka iko cheo kinampita hata mwenye haki. Maana Sheria haimuhusu mwenye haki lakini rais yupo juu ya Sheria maana yake hata akifanya kosa Sheria aimtii hatiani maana yupo juu ya Sheria.
Nchi Kama Israel alifungwa rais akiwa madarakani kwa rushwa. Akatiwa hatiani na akavuliwa urais akafungwa. Sababu katiba yao Ina kipengele Cha aliye juu ya Sheria ni MUNGU NA KWENYE HAKI TU. Wametembea na ili andiko.
1 Timotheo 1:9 Alifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu wa haki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji,
 
kwani Rais halipi kodi?wewe unalipa kodi kuliko Rais au mawaziri?kulipa kwako kodi ni sawasawa na utumishi anaoutoa Rais kwa watanzania?umewahi kulipa kodi kwa kazi anayoifanya Rais??Rais amekulipa kiasi gani kutokana na kodi yako?
sasa kwa nini hawi rais milele? unachoshindwa kuelewa ni nini kwamba wananchi ndio tumemuweka pale madarakani na kuna siku tutamtoa? akili zenu zipo wapi ninyi? namaanisha zipo eneo gani la miili yenu?
 
Back
Top Bottom