Cheo hiki kikubwa lazima kiheshimiwe sio kila aliyeshiba maharage tu awe anakitaja ovyo ovyo!

Cheo hiki kikubwa lazima kiheshimiwe sio kila aliyeshiba maharage tu awe anakitaja ovyo ovyo!

sasa kwa nini hawi rais milele? unachoshindwa kuelewa ni nini kwamba wananchi ndio tumemuweka pale madarakani na kuna siku tutamtoa? akili zenu zipo wapi ninyi? namaanisha zipo eneo gani la miili yenu?
Unadhani ni wanannchi tu ndio tunamuweka pale?kwani nchi ina wananchi tu??
Think again and think critically
 
Unadhani ni wanannchi tu ndio tunamuweka pale?kwani nchi ina wananchi tu??
Think again and think critically
Siyo kila kiongozi amewekwa na Mungu. Sauli akuwekwa na MUNGU. na ndiyo maana Mungu wakati anamwinua Daudi Sauli akawa anamwinda kumuuwa na Sauli alimpiga mkuki Daudi akamkosa. Sasa acha kudanganya watu hapa. Wengine wamewekwa na mapepo ndiyo maana ni wauwaji watekaji na watesaji.
 
Siyo kila kiongozi amewekwa na Mungu. Sauli akuwekwa na MUNGU. na ndiyo maana Mungu wakati anamwinua Daudi Sauli akawa anamwinda kumuuwa na Sauli alimpiga mkuki Daudi akamkosa. Sasa acha kudanganya watu hapa. Wengine wamewekwa na mapepo ndiyo maana ni wauwaji watekaji na watesaji.
Ungeweka na vifungu vya biblia ningekuelewa
 
Mamlaka kutoka kwa Mungu,sio hizi mamlaka za kipumbavu.
Jiheshimu,nawe utaheshimika.
Unazungumzia mamlaka zipi,hizi za kupora ushindi kwa walioshinda na kuwapa walioshindwa?.
We kweli,ni jinga also haswaa.

Hakuna mamlaka takatifu kutoka bara la Afrika,hususani kwa wanafiki.
Ndoo maana,kwenye Nchi za wenye akili ni mwendo wa mapinduzi.
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Unastahili maua 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Hii inawahusu wasiomini mungu pia(atheists)??
 
Mamlaka hutoka kwa Mungu hayaji kiutaniutani tu.

Sio wote tunaweza kuwa marais au mawaziri au viongozi.

Hii ni karama yenye utukufu na kamwe haiwezi kubezwa tu.

Ni kweli ipo mifano toka karne na karne inayoonesha baadhi ya Viongozi au watawala waliwahi kuabuse nafasi hizo.

Uzoefu huo pengine ndio ulizaa neno na harakati za the so called democracy.

Hii haimaanishi nguvu ,imani,uwezo,ulinzi na muujiza aliotunukiwa kiongozi unaweza kubezwa tu.
pasipo uongozi lazima mtaparanganyika sana na uingozi sio chocolate ya kugawiwa tu uongozi ni something special!

Demokrasia imekuja kujaribu kuregulate some of the issues related to Uongozi ila haijaja kuwa mbadala wa Uongozi.

Kama una imani au hata kama huna imani you must respect ultmate powers ziwe za kiutu ,kijamii au kiroho.
Hii ni sad but truth.

Hata iwe kanisani yupo askofu ambaye ana neno la mwisho hata kama waumini hatulipendi...Je tumtukane au tumtishe au tufanye uasi dhidi ya Askofu??...big no..sanasana tutasali mno mambo yakae sawa.

Hata huko mataifa ya nje waliotuletea the so called democracy kuna kiongozi wao ambaye ultmately anadictate decisions.

Hata Kwa baba Mwenyezi Mungu aliiweka mipaka isiyohojiwa na aghalabu tumefundishwa kuwa ni Mungu mwenye wivu,asiyetaka jina lake litajwe hivyo na mwenye kuhitaji heshima kuu...tunafuata kwa kuwa tunaamini lakini pia tunafahamu uwezo wake mkuu...ni kwa nini tusidai haki kwa Mwenyezi muumba kwamba hatutaki kifo ??kwa kuwa sio fair??

UHURU UNA MIPAKA !!
Nisiwachoshe sana lakini ni vyema kutambua ukuu wa cheo cha Urais...ni vyema tukaifuta tabia chafu na inayotaka kukua kwenye jamii yetu eti kila mla plama akiwa na handasi anaitisha Press,au anashika kipaza kwenye jukwaa anaanza kumuongelea Mhe.Rais atakavyo ili tu aonekane ni shujaa.

Sina uwezo kwa sasa kulifuta hili lakini ni bora niliseme na siku inshaalah Mungu akinipa uwezo wa kuwa kwenye nafasi ya kuliamulia nitaliamulia kwa mtazamo huu .

Wote wanaojishaua kutajataja jina la Rais ni muhimu wawe wamejipanga na wapate baraka hizo kutoka kwa umma.

Kumuadress Rais wa URT unahitaji taarifa za kina sana kutoka maeneo mengi sana...kwani yeye anapotoa neno lake huwa amerifiwa na Wengi mno pengine sio watu tu hadi "viumbe"
Take care and be humble when you even think of addressing the authority.!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Usemayo ni kweli ila itakuwaje Sasa kama tumewaheshimu lkin wameshindwa kujiheshimu
 
Ungeweka na vifungu vya biblia ningekuelewa
Mkuu Maandiko yapo.
1 Samweli 16:1
BWANA akamwambia Samweli, Hata lini utamlilia Sauli, ikiwa mimi nimemkataa asiwamiliki Israeli? Ijaze pembe yako mafuta, uende, nami nitakupeleka kwa Yese, Mbethlehemi; maana nimejipatia mfalme katika wanawe.

Maandiko aliyotaka kumuuwa Daudi

1 Samweli 18:10-12
[10]Ikawa siku ya pili yake, roho mbaya kutoka kwa Mungu ikamjilia Sauli kwa nguvu, naye akatabiri ndani ya nyumba. Basi Daudi alikuwa akipiga kinubi kwa mkono wake kama siku zote; naye Sauli alikuwa na mkuki mkononi mwake.
[11]Mara Sauli akautupa ule mkuki; maana alisema, Nitampiga Daudi hata ukutani. Daudi akaepa, akatoka mbele yake, mara mbili.
[12]Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli.

Kwa hiyo mkuu.MUNGU uwa anawakataa viongozi wanapofanya YASIYOMPENDEZA na kufanya MACHUKIZO.
 
Back
Top Bottom