Jimmy De Lite
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 635
- 2,321
Ishu Ni kwamba kumpata mtu sahihi ndi sababu ya kuchepukaEvelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao... Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima. Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
Kwanini huwa mnachepuka na wake za wanaume wenzenu? Nyie si ndio huwa mnasema wanaume mnapendana jamani[emoji134][emoji134][emoji134]...kinachoshangaza zaidi ni kuwa utakuta huo mchepuko wake ni Mume wa mwanamke mwenzie! Kwa hiyo anaharibu kwake na anaharibu kwa mwanamke mwenziwe! Sad
Kitanda hakizai haramu jamanimwanamke kuchepuka ni hatari kweli waweza lea mtoto wa mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatafuta mchumba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu kausha bana utafanya tubakwe
Mchepuko anakwambia babe leo mbanie kesho nije kukusugua vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Unanipa taabu na hii comment yako .dah..ningekuwa men hii comment ningedisa[emoji847][emoji847]...imeupooza ubongo wangu ghafla vin pu...!ujue niko far lakini hornrt ww...arghhh
Hiyo ndo michepuko siyo mchepuko unawaza papuchi tu
Mxieeeeeeeew
Hahhqhqha....pole.....unajua kuna grade zao eh...hii nnayoizubgumzia mm haioni shida kupartiner ht kibiashara...yaan ipo konky...
Kuna vile vimichepuko kimelewa jana huko weee..sijui.kilifumania wap elfu 30..bas hangover kitataka ukakinunulie supu..mara aombe azimue bia 2..chefuu...hakana hata visions..uwiii...mijichepuko ya maana bwana unampigia smu ya deal anareact fast[emoji28][emoji28][emoji105][emoji105][emoji105]...jaman nimeandika nikiwa nna Alter wine kichwan na nimechoka balaa...sihitaj maemoji ya hivi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]!
Unanipa taabu na hii comment yako .dah..ningekuwa men hii comment ningedisa[emoji847][emoji847]...imeupooza ubongo wangu ghafla vin pu...!ujue niko far lakini hornrt ww...arghhh
Nitakata miguu yake ninywe supu [emoji23] [emoji23]
Daah hii kweli dawa ya kutukomoa huu uzi wasipite hawa wadada wakachukua haya mawazo
Halafu mingi sasa hivi ipo hivyo,mzee anadata kumbe mchepuko una-act tu....baada ya muda unasikia mchepuko kaolewa na ndoa yako umeshaharibu ndani....Hapo ndipo inakuwa kazi pale mchepuko anapompenda Njemba hadi kuwa tayari kubwaga manyanga kwenye ndoa yake ili awe na mchepuko kwa raha zao 24/7.
Oa tu siyo wote! Tena wanawake ndiyo kabisa hawachepuki,ukiona anachepuka ujue ndani kwake kuna shida mahali.....Hua naogopa zaidi kuwaza kwamba natakiwa kuoa, kuliko ninvyoogopa kuwaza kwamba nitakufa!
Baada ya kusoma comments, najiongezea miaka mitano mbele. Hakuna namna!
Yaani kuna maneno ukiyaona kama ulikua umetoka kufokewa unatabasamu tu
Unajikumbatia kama mtoto
Ukiomba asubuhi ifike uende kwa suuzo la mwili wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo wanaume humu wamepoaaaa[emoji126][emoji126][emoji126]
Una UMRI gani?Oa tu siyo wote! Tena wanawake ndiyo kabisa hawachepuki,ukiona anachepuka ujue ndani kwake kuna shida mahali.....
Yaani kuna maneno ukiyaona kama ulikua umetoka kufokewa unatabasamu tu
Unajikumbatia kama mtoto
Ukiomba asubuhi ifike uende kwa suuzo la mwili wako