Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Evelyn Salt Hayo ya wanawake kuchepuka kwa hisia ni dhana tu au ni wachache ambao wanasababu za kuwachoka waume zao au kuchoka ndoa zao... Wake za watu wana michepuko zaidi ya mmoja na wanai handle bila shida. Mke wa mtu haendi wala hataki kulala kwa mchepuko labda apate safari ya mkoa /wilaya nyingine ndo Wanaweza panga na mchepuko mmojawapo wakaspend usiku mzima. Wanawake wangekuwa kweli wanachepuka kwa hisia ndoa nyingi zingevunjika. Wanaume wavumilie tu kulea watoto wa wenzao hiiiiii [emoji23] msinikasirikie ni utafiti huo.
Ishu Ni kwamba kumpata mtu sahihi ndi sababu ya kuchepuka

Unajua tunawaza vitu ving sana katika mahusiano ukishaingia ndani unakuta hapo figisu figisu zinaanza na ukimpata mtu sahihi kwako hapo ndio kwisha habar kabisa
 
...kinachoshangaza zaidi ni kuwa utakuta huo mchepuko wake ni Mume wa mwanamke mwenzie! Kwa hiyo anaharibu kwake na anaharibu kwa mwanamke mwenziwe! Sad
Kwanini huwa mnachepuka na wake za wanaume wenzenu? Nyie si ndio huwa mnasema wanaume mnapendana jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Unanipa taabu na hii comment yako .dah..ningekuwa men hii comment ningedisa[emoji847][emoji847]...imeupooza ubongo wangu ghafla vin pu...!ujue niko far lakini hornrt ww...arghhh
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Hiyo ndo michepuko siyo mchepuko unawaza papuchi tu

Mxieeeeeeeew


Hahhqhqha....pole.....unajua kuna grade zao eh...hii nnayoizubgumzia mm haioni shida kupartiner ht kibiashara...yaan ipo konky...

Kuna vile vimichepuko kimelewa jana huko weee..sijui.kilifumania wap elfu 30..bas hangover kitataka ukakinunulie supu..mara aombe azimue bia 2..chefuu...hakana hata visions..uwiii...mijichepuko ya maana bwana unampigia smu ya deal anareact fast😅😅👄👄👄...jaman nimeandika nikiwa nna Alter wine kichwan na nimechoka balaa...sihitaj maemoji ya hivi🙆🙆🙆🙆🙄🙄🙄🙄!
 
Hahhqhqha....pole.....unajua kuna grade zao eh...hii nnayoizubgumzia mm haioni shida kupartiner ht kibiashara...yaan ipo konky...

Kuna vile vimichepuko kimelewa jana huko weee..sijui.kilifumania wap elfu 30..bas hangover kitataka ukakinunulie supu..mara aombe azimue bia 2..chefuu...hakana hata visions..uwiii...mijichepuko ya maana bwana unampigia smu ya deal anareact fast[emoji28][emoji28][emoji105][emoji105][emoji105]...jaman nimeandika nikiwa nna Alter wine kichwan na nimechoka balaa...sihitaj maemoji ya hivi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]!

Salt kaniambia ninyamaze nauza siri ya kambi
 
Unanipa taabu na hii comment yako .dah..ningekuwa men hii comment ningedisa[emoji847][emoji847]...imeupooza ubongo wangu ghafla vin pu...!ujue niko far lakini hornrt ww...arghhh

Yaani kuna maneno ukiyaona kama ulikua umetoka kufokewa unatabasamu tu
Unajikumbatia kama mtoto
Ukiomba asubuhi ifike uende kwa suuzo la mwili wako
 
Hapo ndipo inakuwa kazi pale mchepuko anapompenda Njemba hadi kuwa tayari kubwaga manyanga kwenye ndoa yake ili awe na mchepuko kwa raha zao 24/7.
Halafu mingi sasa hivi ipo hivyo,mzee anadata kumbe mchepuko una-act tu....baada ya muda unasikia mchepuko kaolewa na ndoa yako umeshaharibu ndani....
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Yaani kuna maneno ukiyaona kama ulikua umetoka kufokewa unatabasamu tu
Unajikumbatia kama mtoto
Ukiomba asubuhi ifike uende kwa suuzo la mwili wako
 
Back
Top Bottom