Chepuka kwa akili...

kuna ndoa aina moja tu ambayo ni official either kanisani au msikitini, nyingine ni kulangua (mnakaa bila kuhalalisha kanisani au msikitini) kwa maana hiyo naweza nikalangua na mimi au nikawa mzee wa chapa ilale.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwamba utaolewa au sijakuelewa?
 
Aaah sasa uchoyo gani huu hata shetani hapendi.
Ha ha haaaa kwa mbunye hapana asee hatutaki kushare.
Tatizo maumbile yenu yanafuwata saizi ya ulie nae ukitoka utaiongeza
Tubaki tu kua wachoyo
 
Sisi ni kama maji.
 
Uwii naomba nimuite Extrovert aje asome hii comment maana anapenda sana kutolea mifano ya bibi zetu na mama zetu utafikiri wao walikuwa malaika vile tena hao ndo walikuwa majasusi kabisa bora hata sisi wa kizazi hiki tunatoa hadi siri za kambi
 
Hatufukuzwi, tunabembelezwa, tunapetiwa petiwa, yes tunapewa kitu roho inapenda. Tukirudi nyumbani wepesiiii, tuanawapikia na kuwaheshimu.
Mtake nini tena jamani[emoji1745][emoji1745]
Mkituheshimu shida hakuna tatizo huko nje sasa hamta heshimiwa hata
 
Sasa kama mtu hakupi raha si unamchana akuache ukapate raha?
Ukiwa mtaka vyote utakua malaya tu si vinginevyo
Hapana hatuachani, tunaachanaje kwa suala dogo kama hilo ambalo jirani yako tu anaweza kukusaidia kulitatua halafu tukaendelea na ndoa yetu vizuri tu jamani.
 
Ha ha haaaa kwa mbunye hapana asee hatutaki kushare.
Tatizo maumbile yenu yanafuwata saizi ya ulie nae ukitoka utaiongeza
Tubaki tu kua wachoyo
Kumbe mnahofia size zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuacheni tukapate raha, tukirudi tutakamulia hata ndimu maana hamna namna.
 
Asipate tabu yeye akamuhoji tu vizuri mama, shangazi au bibi zake sie tunafanya marudio tu tena kwa huruma sana
Uwii naomba nimuite Extrovert aje asome hii comment maana anapenda sana kutolea mifano ya bibi zetu na mama zetu utafikiri wao walikuwa malaika vile tena hao ndo walikuwa majasusi kabisa bora hata sisi wa kizazi hiki tunatoa hadi siri za kambi
 
Mimi siku zote nimekuwa nikikamatwa hasa kwenye simu sikui kwanini
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Demu wangu kuna siku kafumania sms za mapenzi tena zile mbaya kwenye simu yangu tena kwa madem wanne tofauti aliNuna kama wiki mbili akalia wee....baadae tukayamaliza na maisha yanaendelea kama kawaida na mmojawapo ni rafiki yake....Sasa najiuliza ingekuwa kinyume chake nimemfumania kama hv sijui ingekuwaje siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…