Chepuka kwa akili...

Kwa mtizamo wangu kama wanachepuka basi kwa msukumo sio ivi ivi, kuna kitu kimepelekea kuchepuka otherwise ni hulka yake.
 
Wao wanajipa ruksa sasa mwenzie achepuke wanaua mpaka jirani kama naye anayafahamu hayo mahusiano


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ͺπŸ’ͺβœŒπŸ˜ŽπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Duh huoni kama umechangia kiasi flani hiyo ndoa kuvunjika?
 
Hua naogopa zaidi kuwaza kwamba natakiwa kuoa, kuliko ninvyoogopa kuwaza kwamba nitakufa!

Baada ya kusoma comments, najiongezea miaka mitano mbele. Hakuna namna!
Hahaha acha woga kijana. Lakuambiwa changanya nalakwako.
 
Wanaume sisi tunapokua wakali ni kwa mke, au mpenzi wa kujenga naye familia yaani ndoa. Lakini manzi ambaye hauna mpango naye huwa hatuna tabu kabisa.
Ni kweli kabisa,ila kuna muda demu usiyemjali anakuja kuuma. labda wawe wengi wengi ndio inakuwa haiumizi kichwa. halafu watu wengi wanakimbilia ndoa kama fassion. balaa baadae. ndoa mziki mwingine.
 
Daaah umeongea kitu ambacho kina ukweli mnooo..

Na kinaumiza sana kwakweli..

Nimeshuhudia hii kitu zaidi ya mara 10 kwa michepuko tofauti
 
Mkuu umenena
Before sina kazi ya kueleweka mapenzi yalinisumbua sana
Sio leo
Yan hata dem afanye ujinga wake sina hata chembe
Daily nawaza jinsi gani account yangu ijae mapene wazazi wangu wananibariki nikiwasaidia pesa basi imekwisha
Mjomba kuna level ukifikia kwenye maisha mwanamke unamuana kawaida sana. Tutafute pesa mkuu.
 
Manga nakuona umepanic, punguza nguo ubaki na boxa na vest upigwe upepo kidogo afu urudi hapa kwenye kikao cha mafisi majike
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wamezoea hawa,,watie hasira hivo hivo
 
Hatari sana...ndio maana huwa nafikiria sana swala la kuoa
 
Kwa Ke mnajidhalilisha hata ukikataa ni vile upo nyuma ya kibody tu.
Nnahakika mwanao wa kike utakua makini nae kuliko wa kiume wakifikia barehe
Ukiwa na mwanaume mwenye kuchepuka kifala kudhalilika kuko palepale... Bora nijiondolee stress...
 
Umejiona mjanjaa!! Ngoja ninyamaze "chepuka kwa akili "
 
Tatizo utandawazi unawa sumbuwa... Mzee wangu alikuwa na wake 5. Na hakuna hata 1, aliye fikiria kuchepuka. Pima kuchepuka uone kama hujageuka paka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…