Chepuka kwa akili...

Ndio mambo yanayofanya dunia izunguke hayo
 
Mbona Kuna wanaume wengi sana wanafanya hivi --- Mimi nimesha shuhudia hilo Mara kibao ''but hilo huwa linafanyika kwa michepuko na sio Kwa wake zao. ....

Kuna family 1 hivi niliikuta bagamoyo 'Hiyo family ina Vijana wa kiume wanajeshi -hao wana share wanawake -kama vile wana share mavazi
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
 
Alikumbuka utamu maskini mweeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…