Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Nikiwa kama mwenyekiti wa UFIDU naomba kukupandisha cheo sasa utakua makamu mwenyekiti wa UFIDU duniani..(umoja wa fisi duniani)
 
Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!

Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..😅😅!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali😅..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume😅...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe

hatari san (In shekh Kipoozeo voice)
Ahahahahahaahahaaa ila mwanamke akikamatwa halafu asikoromewe asiulizwe, maisha yaendelee kama hakuna kilichotokea, MNAJINYONGAGA... 😂 😂
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
 
Wakati tukiwa shule (O'level )kuna rafiki zangu 2 walikuwa wanashea girl friend mmoja. Halafu walipanga nyumba moja na mmoja akiandikiwa barua anamwita mwenzie wanaisoma wote!

Siku moja mmoja akasema, leo umeandikiwa maneno matamu kuliko mimi! Inaonekana unataka kunishinda kete. Tulibaki na cheko tu.

Kwa hiyo hayo kwa wanaume hilo linawezekana sana tu. Ila mimi niliwaambia siwezi wakanicheka

Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
 
Mimi hapo ndio napochoka. Mtu ndoa imemshinda na kuugulia maumivu ya karibia kufa ila ndio wa kwanza kusisistiza ndugu zake waoe au waolewe. Sasa ndoa ya nini kama hujamaliza uzinzi wako, Ngoja niwekeze katika dollars maana haiwezi kunikataa wala kunisaliti
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Mwambie ashirikishe na akili zake aache kutumia moyo tu
 
Wakati tukiwa shule (O'level )kuna rafiki zangu 2 walikuwa wanashea girl friend mmoja. Halafu walipanga nyumba moja na mmoja akiandikiwa barua anamwita mwenzie wanaisoma wote!

Siku moja mmoja akasema, leo umeandikiwa maneno matamu kuliko mimi! Inaonekana unataka kunishinda kete. Tulibaki na cheko tu.

Kwa hiyo hayo kwa wanaume hilo linawezekana sana tu. Ila mimi niliwaambia siwezi wakanicheka
Walikuwa hawampendi huyo msichana, hata sisi tunaweza kwa wanaume tusiowapenda
 
Mimi hapo ndio napochoka. Mtu ndoa imemshinda na kuugulia maumivu ya karibia kufa ila ndio wa kwanza kusisistiza ndugu zake waoe au waolewe. Sasa ndoa ya nini kama hujamaliza uzinzi wako, Ngoja niwekeze katika dollars maana haiwezi kunikataa wala kunisaliti
Mafisi wakike na wa kiume hatukuelewi
 
Back
Top Bottom