Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
You are right
I hope you don't mean the "You are right" that I know.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are right
Imefanya nini jamaniiiplease futa comment kwanza
Umenikumbusha bibie mmoja hapo kota za Bandari Kurasini alikuwa na kimcheps chake cha chuo. Akawa anamnyima mumewe nyapu anamtunzia kajomba ka chuoNa k ukanyimwa anatunziwa bwana mkunaji hahahaha (mbinguni tutapasikia tu)
Hii dhambi haisameheki tehUmenikumbusha bibie mmoja hapo kota za Bandari Kurasini alikuwa na kimcheps chake cha chuo. Akawa anamnyima mumewe nyapu anamtunzia kajomba ka chuo
Hao wanaume wa sayari ipi ?Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Wa hapa hapa Jf. Mmojawapo Don ClericuzioHao wanaume wa sayari ipi ?
[emoji3] hiyo hiyoI hope you don't mean the "You are right" that I know.
[emoji3] hiyo hiyo
Wa hapa hapa Jf. Mmojawapo Don Clericuzio
Alikuwa anakutaniaWa hapa hapa Jf. Mmojawapo Don Clericuzio
Alikuwa anakutania
Ni malaya ambao yeye hajasuuza rungu lakini.Shida ni kwamba ufafanuzi haujatolewa, hivi mkuu hujawahi kupewa link ya malaya na mshikaji?
Ni malaya ambao yeye hajasuuza rungu lakini.
Haiwezekani wote tuteleze sehemu moja.
Scenario unayozungumzia ni kwamba mmekula nyama moja kila mtu kwa wakati wake bila kujua. Kwa hilo sina tatizo nalo. Wala hatuwezi gombanaIkitokea kijiweni wawili au watatu mkajua kama mmepita kwa malaya mmoja mnagombana?
Mind you, sizungumzii demu wa yeyote kati yenu. Nazungumzia cha wote.
Scenario unayozungumzia ni kwamba mmekula nyama moja kila mtu kwa wakati wake bila kujua. Kwa hilo sina tatizo nalo. Wala hatuwezi gombana
Haisameheki ya kukufuru tu mdadaHii dhambi haisameheki teh
Mmh dadaMwenzao juzi kajichoma moto, kuongea rahisi ila kiuhalisia mtihani.
Duuh kazi ipo[emoji15] [emoji15]Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!
Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..[emoji28][emoji28]!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali[emoji28]..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume[emoji28]...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe
hatari san (In shekh Kipoozeo voice)