Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Shoga umechefkwaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…. nimeecheeeka
Tatizo wanawake tunajifanya kutumia hisia... Mwanaume haombewi aache kuchepuka anaombewa Baraka mafanikio na afya njema... Kuna wamama nawafahamu wameishi na wanaume wachepukaji wa kipuuzi bila staha miaka yote ya ndoa hadi mwanaume anastaafu na baadae kufa mwanamke mlokole ni kuomba mwanzo mwisho... Nnachokiona hapa wanaume hao wanaojiita ni wacha Mungu (mf. Walokole), viongozi wa dini wanachepuka... sasa huyo anayejinasibu amepokea Roho au anaye roho wa bwana kama anachepuka sasa unaombea nini hapo?! Kuna kaka mmoja mshauri wa saikolojia aliwahi kusema WANAWAKE ACHENI KUJISUMBUA KUOMBEA WAUME ZENU WASICHEPUKE.
 
hilo natoa ushuhuda kuna washikaji zangu wa 3 wanakula mwanafunzi mmoja na wanajuana mimi niliwaambia wawe makini tu maana miaka 30 inawaita
Wanaume huwa hawajali hasa wakishaona mwanamke wanayemkula sio wake wenyewe wanampachika jina (malaya, changu nk) lakini chukua mkewe uone km atatkutazama tu... Tuongee ukweli
 
Haya maandishi ndio yanadababisha wala tusifikiri hata kuoa
 
Wanawake wasitulaumu Sana tukichepuka hivi ni vitu vigumu kwa sisi kuji control watukanye watuonye watupe mawaiza watupende tutaacha tu wenyewe automatically wasichukue maamuzi magumu ya kuondoka
 
Tatizo wanawake tunajifanya kutumia hisia... Mwanaume haombewi aache kuchepuka anaombewa Baraka mafanikio na afya njema... Kuna wamama nawafahamu wameishi na wanaume wachepukaji wa kipuuzi bila staha miaka yote ya ndoa hadi mwanaume anastaafu na baadae kufa mwanamke mlokole ni kuomba mwanzo mwisho... Nnachokiona hapa wanaume hao wanaojiita ni wacha Mungu (mf. Walokole), viongozi wa dini wanachepuka... sasa huyo anayejinasibu amepokea Roho au anaye roho wa bwana kama anachepuka sasa unaombea nini hapo?! Kuna kaka mmoja mshauri wa saikolojia aliwahi kusema WANAWAKE ACHENI KUJISUMBUA KUOMBEA WAUME ZENU WASICHEPUKE.
Hahaha...kweli kuna dada alishawahi kusema,katika sala yake lazima amuombee mumuwe aone wanawake wengine kama wanaume wenzake..... anashangaa mumewe akaanza kumuona yeye kama mwanaume mwenzake....! Analia alikuwa anaomba nini sasa..! Hizi ndoa ni shida.
 
Wanawake wasitulaumu Sana tukichepuka hivi ni vitu vigumu kwa sisi kuji control watukanye watuonye watupe mawaiza watupende tutaacha tu wenyewe automatically wasichukue maamuzi magumu ya kuondoka
Hiiiii maamuzi ni mkeo naye kujichepukia sio kwa kisasi bali kupunguza stress... Ili aweze kukuonesha tabasamu pana πŸ˜‚
 
Wanawake wasitulaumu Sana tukichepuka hivi ni vitu vigumu kwa sisi kuji control watukanye watuonye watupe mawaiza watupende tutaacha tu wenyewe automatically wasichukue maamuzi magumu ya kuondoka
Hivi mnajua kama inauma sana?
 
Hahaha...kweli kuna dada alishawahi kusema,katika sala yake lazima amuombee mumuwe aone wanawake wengine kama wanaume wenzake..... anashangaa mumewe akaanza kumuona yeye kama mwanaume mwenzake....! Analia alikuwa anaomba nini sasa..! Hizi ndoa ni shida.
Kuna binti mmoja msomi ndoa yake ya kanisani ina kama miaka miwili anasimulia shangazi yake alimwambia kabla ya kuolewa wakati anamfunda alimwambia km anamchepuko asiuache coz mme wake akichepuka na yeye kwa raha zake anaendelea na mchepuko wake hivyo Hatopata pressure wala stress hatolialia hovyo... Basi binti ana jamaa yake anayempigia simu kila dakika, tulikuwa salon alinipigia zaidi ya mara mbili na video call juu...
 
Mwanaume hata achepuke vp bado mapenzi ya kweli yatabaki kwa mkewe, kwa michepuko huwekeza tamaa kwa ajili ya kupewa mapigo mapya na mastaili ambayo hayapati kwa mkewe na bado sirahisi ndoa yake kuyumba. Lakini mwanamke akichepuka ye ndio huhamisha upendo wa mumewe kwa mchepuko wake kiasi kwamba hujiona anapendwa na mchepuko kumbe mchepuko hufurahia kula kilichojileta, mwanamke huyu huyu kwa kuchepuka kwake huanza dharau kwa mumewe hadi kuyumbisha au kuvunja kabisa ndoa yake na akiachana na mumewe mchepuko pia pia humuacha, hata kama sio papo kwa papo basi ni kitendo cha muda kodogo tu.
 
Hapo ndipo inakuwa kazi pale mchepuko anapompenda Njemba hadi kuwa tayari kubwaga manyanga kwenye ndoa yake ili awe na mchepuko kwa raha zao 24/7.

Good morning.....

Angalizo: soma bila jazba inaweza kukukera, ukimaliza mcheki mkeo msonye kupunguza hasira.

Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mapenzi kwa mwanaume ni moja kati ya vitu, ila kwa mwanamke mapenzi ni kila kitu, yani kwa mwanamke mapenzi ni maisha. Ndio maana mwanamke unaweza kumkera basi asikupikie, asifanye chochote yani hapo kila kitu kipo connected na hayo mapenzi tofauti na mwanaume. Mwanaume unaweza kuwa na wanawake kadhaa na wanajuana na maisha yanaendelea ila kitendo cha kujua mwanamke wako kuna mtu anasimamia kucha ni pigo sana na usipokua imara unaweza rudi kwa muumba kizembe kizembe.

Bwana kujua mali zako zinaliwa inauma, iwe analiwa mwanaume au analiwa mwanamke inauma, japo wanaume mnajitoaga tu ufahamu mnajikuta mliumbwa na kibali cha kupiga yani nyie mpige tu mkipigiwa inakupa tabu. Cha ajabu ukute umeoa kabisa unajua uchungu wa mke na unaenda kupiga wake za wenzio tena unawapenda ndio mambo yako yani ila eti wako hautaki aguswe hihihihi nacheka kisukuma brother hebu kuwa serious kidogo!!!

Mwanaume anachepuka kwa tamaa tu yani kifupi hana madhara kiiivo tukiachana na wivu wivu tu hana madhara makubwa, labda kuchunwa chunwa tu na vitu vya hapa na pale, ila sasa tukija kwetu viumbe wa kike watu ambao mioyo yetu inashape ya kopa, kopa ndio na mioyo wanaume ina shape ya korosho (tusibishane katika hili 😁) mwanamke kuchepuka ni hatari kuchepuka sio tu tamaa kuchepuka ni mapenzi tena mapenzi mazito, mahaba ya dhati kabisa, we don't offer mabao tu bali tunajitoa sana hadi hisia tunaweka rehani, yani kuchepuka ni kufall in love kabisa unampa mtu moyo na hisia (micheps msizingue jamani mtatuua) na hapa ndiyo hatari ilipo mwanamke usipohusisha akili nyumba itasambaratika, utaanza kama masihara tu mara unajikuta mme unamuona kama zombie huko kwenye ateri na aota kajaa mchepuko, mchepuke kwa makini na kwa akili jamani

Evelyn Salt (fisi jike)
 
Siku nikikuta msg zisizueleweka kwenye simu ya mke wangu afu nikimuuliza alete nyodo nadhani ataenda kwao tu

Sitaki stress za michepuko kwenye ndoa kabisaaa

Mapenzi/sex ni bidhaa kama navonunua Voda ya 500 nakwangua na kutupa so nimempa heshima sana kumuoa
 
Mh! Siku zote nilijua weye ni ME.

Tatizo wanawake tunajifanya kutumia hisia... haombewi aache kuchepuka anaombewa Baraka mafanikio na afya njema... Kuna wamama nawafahamu na wanaume wachepukaji wa kipuuzi bila staha miaka yote ya ndoa hadi mwanaume anastaafu na baadae kufa mwanamke mlokole ni kuomba mwanzo mwisho... Nnachokiona hapa wanaume hao wanaojiita ni wacha Mungu (mf. Walokole), viongozi wa dini wanachepuka... sasa huyo anayejinasibu amepokea Roho au anaye roho wa bwana kama anachepuka sasa unaombea nini hapo?! Kuna kaka mmoja mshauri wa saikolojia aliwahi kusema WANAWAKE ACHENI KUJISUMBUA KUOMBEA WAUME ZENU WASICHEPUKE.
 
Back
Top Bottom