Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Kuna binti mmoja msomi ndoa yake ya kanisani ina kama miaka miwili anasimulia shangazi yake alimwambia kabla ya kuolewa wakati anamfunda alimwambia km anamchepuko asiuache coz mme wake akichepuka na yeye kwa raha zake anaendelea na mchepuko wake hivyo Hatopata pressure wala stress hatolialia hovyo... Basi binti ana jamaa yake anayempigia simu kila dakika, tulikuwa salon alinipigia zaidi ya mara mbili na video call juu...
Inaleta faraja
 
Good morning.....

Angalizo: soma bila jazba inaweza kukukera, ukimaliza mcheki mkeo msonye kupunguza hasira.

Wataalamu wa mambo ya mahusiano wanasema mapenzi kwa mwanaume ni moja kati ya vitu, ila kwa mwanamke mapenzi ni kila kitu, yani kwa mwanamke mapenzi ni maisha. Ndio maana mwanamke unaweza kumkera basi asikupikie, asifanye chochote yani hapo kila kitu kipo connected na hayo mapenzi tofauti na mwanaume. Mwanaume unaweza kuwa na wanawake kadhaa na wanajuana na maisha yanaendelea ila kitendo cha kujua mwanamke wako kuna mtu anasimamia kucha ni pigo sana na usipokua imara unaweza rudi kwa muumba kizembe kizembe.

Bwana kujua mali zako zinaliwa inauma, iwe analiwa mwanaume au analiwa mwanamke inauma, japo wanaume mnajitoaga tu ufahamu mnajikuta mliumbwa na kibali cha kupiga yani nyie mpige tu mkipigiwa inakupa tabu. Cha ajabu ukute umeoa kabisa unajua uchungu wa mke na unaenda kupiga wake za wenzio tena unawapenda ndio mambo yako yani ila eti wako hautaki aguswe hihihihi nacheka kisukuma brother hebu kuwa serious kidogo!!!

Mwanaume anachepuka kwa tamaa tu yani kifupi hana madhara kiiivo tukiachana na wivu wivu tu hana madhara makubwa, labda kuchunwa chunwa tu na vitu vya hapa na pale, ila sasa tukija kwetu viumbe wa kike watu ambao mioyo yetu inashape ya kopa, kopa ndio na mioyo wanaume ina shape ya korosho (tusibishane katika hili 😁) mwanamke kuchepuka ni hatari kuchepuka sio tu tamaa kuchepuka ni mapenzi tena mapenzi mazito, mahaba ya dhati kabisa, we don't offer mabao tu bali tunajitoa sana hadi hisia tunaweka rehani, yani kuchepuka ni kufall in love kabisa unampa mtu moyo na hisia (micheps msizingue jamani mtatuua) na hapa ndiyo hatari ilipo mwanamke usipohusisha akili nyumba itasambaratika, utaanza kama masihara tu mara unajikuta mme unamuona kama zombie huko kwenye ateri na aota kajaa mchepuko, mchepuke kwa makini na kwa akili jamani

Evelyn Salt (fisi jike)
😂😂😂😂
Kwa nini fisi jike?
 
Mume na mke walikaa sebuleni wanaangalia muvi,ghafla simu ya mke ikaita ujumbe ,kufungua anakuta msg kutoka kwa mchepuko wake "kuanzia Leo mi na wewe basi!!"
Mke michozi ikaanza kummwagika.mume anashangaa kulikoni,kuna msiba?

Mke:hapana Mme wangu,ni shangazi ananfundisha kupika pilau

Mume:asa ndo unatoka machozi

Mke: tupo hatua ya kukatakata vitunguu!!

Chezea kibuti!!
😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.

Ni kweli..nimefanya sana hii enzi za ujana wangu
 
Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!

Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..[emoji28][emoji28]!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali[emoji28]..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume[emoji28]...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe

hatari san (In shekh Kipoozeo voice)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Michepuko inafanya maisha yawe rahisi kidogo kwakweli.
 
Mume na mke walikaa sebuleni wanaangalia muvi,ghafla simu ya mke ikaita ujumbe ,kufungua anakuta msg kutoka kwa mchepuko wake "kuanzia Leo mi na wewe basi!!"
Mke michozi ikaanza kummwagika.mume anashangaa kulikoni,kuna msiba?

Mke:hapana Mme wangu,ni shangazi ananfundisha kupika pilau

Mume:asa ndo unatoka machozi

Mke: tupo hatua ya kukatakata vitunguu!!

Chezea kibuti!!
Hahahaaaaaaaa Mkuu we zaidi ya Joti...
 
Back
Top Bottom