mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Haha hahaaaHahaha hahaha hahaha
Hebu huko, bila michepuko ndoa hazisogei!
Nimenukuu kwa wanandoa akiii!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hahaaaHahaha hahaha hahaha
Hebu huko, bila michepuko ndoa hazisogei!
Nimenukuu kwa wanandoa akiii!!!
Msonye tu mkeo ni dawa hahaaShemela unapiga za chembe
Siku nikichepuka ndoani nahisi nitakamatwa akii...Haha hahaaa
Soma vizuri kichwa cha mada akiiSiku nikichepuka ndoani nahisi nitakamatwa akii...
Chukua tano AtotoSio kweli, nafikiri huwa hamnotice mabadiliko kwasababu nyie ni watenda.
Sinaye karibu hapa... nshakusonya wewe shemela... Ila umeuwa leo wallahMsonye tu mkeo ni dawa hahaa
Ahahahahahaahahaaa ila mwanamke akikamatwa halafu asikoromewe asiulizwe, maisha yaendelee kama hakuna kilichotokea, MNAJINYONGAGA... 😂 😂Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!
Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..😅😅!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali😅..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume😅...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe
hatari san (In shekh Kipoozeo voice)
Ntakua katibu mwenezi kitengo cha propaganda 😂 😂 😂 😂Nikiwa kama mwenyekiti wa UFIDU naomba kukupandisha cheo sasa utakua makamu mwenyekiti wa UFIDU duniani..(umoja wa fisi duniani)
Siku ishaharibika hii 😂😂Sinaye karibu hapa... nshakusonya wewe shemela... Ila umeuwa leo wallah
Unaanzaje kuwaombea wakati viongozi wa dini wenyewe wanachepuka? Tuombee watoto wetu, tuwaombee yatima na wagonjwa waponeHahaha hahaha hahaha
Alituambia tuwaombee waume zetu akiii....
Hahaha hahaha hahahaSoma vizuri kichwa cha mada akii
HallelujahUnaanzaje kuwaombea wakati viongozi wa dini wenyewe wanachepuka? Tuombee watoto wetu, tuwaombee yatima na wagonjwa wapone
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
U see hayo yawezekana tu kwa wenye tamaa ila sio kwetu wapendaji
Eeh muoe basi kimila tuwe wake wawiliNi ile siku nitakapotedi
Mwambie ashirikishe na akili zake aache kutumia moyo tuUlichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)
Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima
Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
Walikuwa hawampendi huyo msichana, hata sisi tunaweza kwa wanaume tusiowapendaWakati tukiwa shule (O'level )kuna rafiki zangu 2 walikuwa wanashea girl friend mmoja. Halafu walipanga nyumba moja na mmoja akiandikiwa barua anamwita mwenzie wanaisoma wote!
Siku moja mmoja akasema, leo umeandikiwa maneno matamu kuliko mimi! Inaonekana unataka kunishinda kete. Tulibaki na cheko tu.
Kwa hiyo hayo kwa wanaume hilo linawezekana sana tu. Ila mimi niliwaambia siwezi wakanicheka
Mafisi wakike na wa kiume hatukuelewiMimi hapo ndio napochoka. Mtu ndoa imemshinda na kuugulia maumivu ya karibia kufa ila ndio wa kwanza kusisistiza ndugu zake waoe au waolewe. Sasa ndoa ya nini kama hujamaliza uzinzi wako, Ngoja niwekeze katika dollars maana haiwezi kunikataa wala kunisaliti