Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Hizi tafsida za kisasa huhalalisha uovu mwingi sana kuonekana ni wema.
1. Hivi mkeo/mumeo akikuaga kuwa anaenda kucheza kamari utamchukuliaje! Ila akikuambia anaenda kubet utaona ni kawaida tu.
2. Mtu wako wa karibu kabisa utamsikia anasema siku hizi hakuna ndoa bora nidange tu, vipi akitumia neno asili ya hilo utamuonaje
3. Mwanaume/mwanamke mwenye kuenzi mambo ya laana zile za enzi za nabii Lutwi, siku hizi ndio yaonekana kawaida tu tena kwa majina mbali mbali
NB:KUCHEPUKA /KUDANGA HUU NI UMALAYA AMBAO HAUNA TOFAUTI NA UMALAYA MWINGINE WOWOTE
Dunia isitubadilishe ila sisi tuibadilishe.
Ndio mambo yanayofanya dunia izunguke hayo
 
Mbona Kuna wanaume wengi sana wanafanya hivi --- Mimi nimesha shuhudia hilo Mara kibao ''but hilo huwa linafanyika kwa michepuko na sio Kwa wake zao. ....

Kuna family 1 hivi niliikuta bagamoyo 'Hiyo family ina Vijana wa kiume wanajeshi -hao wana share wanawake -kama vile wana share mavazi
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
 
Mume na mke walikaa sebuleni wanaangalia muvi,ghafla simu ya mke ikaita ujumbe ,kufungua anakuta msg kutoka kwa mchepuko wake "kuanzia Leo mi na wewe basi!!"
Mke michozi ikaanza kummwagika.mume anashangaa kulikoni,kuna msiba?

Mke:hapana Mme wangu,ni shangazi ananfundisha kupika pilau

Mume:asa ndo unatoka machozi

Mke: tupo hatua ya kukatakata vitunguu!!

Chezea kibuti!!
Alikumbuka utamu maskini mweeeh!
 
Back
Top Bottom