Chepuka kwa akili...

Wanawake wasitulaumu Sana tukichepuka hivi ni vitu vigumu kwa sisi kuji control watukanye watuonye watupe mawaiza watupende tutaacha tu wenyewe automatically wasichukue maamuzi magumu ya kuondoka
Tuvumiliane sisi sote ni wahanga sio peke yenu teh
 
Inaleta faraja
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa nini fisi jike?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
Wanawake akili zenu mnazijua wenyewe
 
Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.

Ni kweli..nimefanya sana hii enzi za ujana wangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Michepuko inafanya maisha yawe rahisi kidogo kwakweli.
 
Hahahaaaaaaaa Mkuu we zaidi ya Joti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…