Chepuka kwa akili...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lol! Maandiko yako nakusoma sana lakini pamoja na kukusoma kwa kipindi kirefu siku zote nilijua wewe ni ME. Maandishi wakati mwingine yanatu mislead kuamini muhusika ni ME au vice versa.

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wewe sio wa kwanza. Nini kinafanya nionekane km mwanaume?
Mie sina prostate nina womb
 
Hujui tu maneno yako yanachoma kiasi gani...yaani kila nikifikiliaga kitu ulichokiandika pamoja na niyaonayo nakata tamaa kwa kweli acha niendelee kuwepo wepo
Hahaha haya maneno tu mzee baba uoe bana tuje kukata viuno
 
Ingawa kuchepuka siyo kuzuri na kunasikitisha sana...

Wanaume huchepuka kwa sababu za tamaa... tunapenda kuchovyo chovyo kila sehemu...

Wanawake mnachepuka kwa mapenzi, yani umempenda kiukweli huyo mchepuko...

Na ndiyo maana kwenye fumanizi, mwanaume akifumaniwa na hatimae kuchana na mke wake, kamwe hawezi mpokea yule mchepuko aliyefumaniwa nae...

Ila mwanamke akifumaniwa na hatimae kuachana na mume wake, ataenda kwa yule mchepuko aliyefumaniwa nae...


Cc: mahondaw
 
...kinachoshangaza zaidi ni kuwa utakuta huo mchepuko wake ni Mume wa mwanamke mwenzie! Kwa hiyo anaharibu kwake na anaharibu kwa mwanamke mwenziwe! Sad
 
...kazi unayo mkuu
 
.....ambako hatapokewa [emoji16]!!!
 
Jitahidi uoe kwanza kisha ndio useme namna hii
 
Kwa hiyo umekuja kunisema huku.... Nitaacha kukupa utamu wa dunia shauri yako
 
mwanamke kuchepuka ni hatari kweli waweza lea mtoto wa mwenzio
 
Hakuna jipya chini ya jua!
 
Jifunzeni kuwa smart yaani me nimekuoa, lakini kisa ya tozi flani unaniona me Tonji.
Wakati sisi tunapiga vitu vikali huko nje, lkn kwa kukuheshimu mke wangu bado nabaki kwenye mstari wa ndoa.
Unabakije kwenye mstari wa ndoa wkt unachepuka?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…