Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lol! Maandiko yako nakusoma sana lakini pamoja na kukusoma kwa kipindi kirefu siku zote nilijua wewe ni ME. Maandishi wakati mwingine yanatu mislead kuamini muhusika ni ME au vice versa.

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ wewe sio wa kwanza. Nini kinafanya nionekane km mwanaume?
Mie sina prostate nina womb
 
Hujui tu maneno yako yanachoma kiasi gani...yaani kila nikifikiliaga kitu ulichokiandika pamoja na niyaonayo nakata tamaa kwa kweli acha niendelee kuwepo wepo
Hahaha haya maneno tu mzee baba uoe bana tuje kukata viuno
 
Ingawa kuchepuka siyo kuzuri na kunasikitisha sana...

Wanaume huchepuka kwa sababu za tamaa... tunapenda kuchovyo chovyo kila sehemu...

Wanawake mnachepuka kwa mapenzi, yani umempenda kiukweli huyo mchepuko...

Na ndiyo maana kwenye fumanizi, mwanaume akifumaniwa na hatimae kuchana na mke wake, kamwe hawezi mpokea yule mchepuko aliyefumaniwa nae...

Ila mwanamke akifumaniwa na hatimae kuachana na mume wake, ataenda kwa yule mchepuko aliyefumaniwa nae...


Cc: mahondaw
 
Kama mwanamke atachepuka seriuos na mchepuko wake yaan akampenda kwa dhat basi wew mwanaume siku zako za kuishi hapa duniani haziwez kuzid mwaka mmoja kama utaendelea kuishi nae nyumba moja.

Kwa muda anamuona mchepuko ni kila kitu na anaeleta kikwazo ni wew mume.
...kinachoshangaza zaidi ni kuwa utakuta huo mchepuko wake ni Mume wa mwanamke mwenzie! Kwa hiyo anaharibu kwake na anaharibu kwa mwanamke mwenziwe! Sad
 
Ulichokiongea ni sahihi kabisa naunga mkono hoja yako kwa kutoa Ushahidi huu
Mimi nlikua na mchepuko wangu ambae ni mwanzo hakua ameolewa lakin badae alikuja kuolewa na aliniomba ruksa ya kuolewa mi nikamkubalia, tuliendelea na mapenz yetu lakin kadri muda ulivozid kwenda mapenzi yang na uyu mchepuko(mke wa mtu kwa sasa) yalizidi kunoga
Ikafika pahala akanambia anafurai zaid kua na mim kuliko kua na mme wake, akaniomba ikiwezekana afanye mpango aachane na mme wake arudi kwangu nimuoe awe mke wa pili(anajua kua nmeoa na yupo tayari kuacha ndoa yake aje kwangu awe mke wa pili)

Ushuhuda huu unadhihiridha wazi kua wanawake wakipenda wanapenda kweli na mke wako akiwa na mchepuko tu basi hesabu maumivu kwa maana anaweza kuzama mazima

Kuhitimisha tu; kabla sijamjibu kua nitamuoa au lah(dini hairuhusu kuoa wake wawili) tayari ameshalikoroga kwa mme wake na amenambia kua anaachika kwa mme wake kwa ajili yangu plz nisimuumize akajutia maamuzi yake
...kazi unayo mkuu
 
Ingawa kuchepuka siyo kuzuri na kunasikitisha sana...

Wanaume huchepuka kwa sababu za tamaa... tunapenda kuchovyo chovyo kila sehemu...

Wanawake mnachepuka kwa mapenzi, yani umempenda kiukweli huyo mchepuko...

Na ndiyo maana kwenye fumanizi, mwanaume akifumaniwa na hatimae kuchana na mke wake, kamwe hawezi mpokea yule mchepuko aliyefumaniwa nae...

Ila mwanamke akifumaniwa na hatimae kuachana na mume wake, ataenda kwa yule mchepuko aliyefumaniwa nae...


Cc: mahondaw
.....ambako hatapokewa [emoji16]!!!
 
Siku nikikuta msg zisizueleweka kwenye simu ya mke wangu afu nikimuuliza alete nyodo nadhani ataenda kwao tu

Sitaki stress za michepuko kwenye ndoa kabisaaa

Mapenzi/sex ni bidhaa kama navonunua Voda ya 500 nakwangua na kutupa so nimempa heshima sana kumuoa
Jitahidi uoe kwanza kisha ndio useme namna hii
 
Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!

Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..[emoji28][emoji28]!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali[emoji28]..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume[emoji28]...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe

hatari san (In shekh Kipoozeo voice)
Kwa hiyo umekuja kunisema huku.... Nitaacha kukupa utamu wa dunia shauri yako
 
mwanamke kuchepuka ni hatari kweli waweza lea mtoto wa mwenzio
 
Hizi tafsida za kisasa huhalalisha uovu mwingi sana kuonekana ni wema.
1. Hivi mkeo/mumeo akikuaga kuwa anaenda kucheza kamari utamchukuliaje! Ila akikuambia anaenda kubet utaona ni kawaida tu.
2. Mtu wako wa karibu kabisa utamsikia anasema siku hizi hakuna ndoa bora nidange tu, vipi akitumia neno asili ya hilo utamuonaje
3. Mwanaume/mwanamke mwenye kuenzi mambo ya laana zile za enzi za nabii Lutwi, siku hizi ndio yaonekana kawaida tu tena kwa majina mbali mbali
NB:KUCHEPUKA /KUDANGA HUU NI UMALAYA AMBAO HAUNA TOFAUTI NA UMALAYA MWINGINE WOWOTE
Dunia isitubadilishe ila sisi tuibadilishe.
Hakuna jipya chini ya jua!
 
Jifunzeni kuwa smart yaani me nimekuoa, lakini kisa ya tozi flani unaniona me Tonji.
Wakati sisi tunapiga vitu vikali huko nje, lkn kwa kukuheshimu mke wangu bado nabaki kwenye mstari wa ndoa.
Unabakije kwenye mstari wa ndoa wkt unachepuka?!
 
Back
Top Bottom