Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!

Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..😅😅!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali😅..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume😅...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe

hatari san (In shekh Kipoozeo voice)
 
Hahahaha povu la hela yote.....
Hakukosea mzee mtambuzi "michepuko inaimarisha ndoa"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie Mungu yuko busy hebu usimsumbue.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ako na CCTV camera (malaika) baadae ataujua ukweli aki!
 
Mimi zaidi ya kubembelezwa sihitaji kingine kwa mchepuko aki.... Yaani nimdekee tuu anibembelezee
Nimekuelewa vilivyo akii....

Hahaaaa.....utasikia nibembeleze nilale nisinzie, akipet petiwa nywele kichwani na maneno matamuuuu kwa mtindo wa kunong'oneza sikioni hachelewi hata!

Hata kule kwa sakrament style aki...(nibembeleze ni.......) mara huyo, huyoo, huyoooo
 
Hahaha hahaha hahaha
Hebu huko, bila michepuko ndoa hazisogei!

Nimenukuu kwa wanandoa akiii!!!
 
Back
Top Bottom