Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Mwanaume anaweza kuchepuka asubuh, jion akarudi na zawad nono kwa mke wake na tabasamu mwanana kabisa.

Lakin mwanamke akichepuka asubuh ata mchana hawez kuitikia salam yako, kila kitu kinageuka waruwaru ndani kwako.

Umenena ukwel mtupu dada yangu.

Usiombe siku mkeo ana appointment na mchepuko wake [emoji23][emoji23]
 
Nimesubscribe kbs .leo mapovu yahapa sijui yaan..Eve ww unanichekshaga sana .hhahahaha!

Kuna kipindi inatokea biashara, bajeti na ada za watoto mnapanga na mchepuko..[emoji28][emoji28]!..ukitaka kuhama nyumba mchepuko anakutaftia dalali unazunguka na dalali[emoji28]..ukitaka ununue usafiri unamhusisha mchepuko kuliko mume[emoji28]...Kwakweli Mbingu tutaiskia tu !Mungu atusamehe

hatari san (In shekh Kipoozeo voice)

Hiyo ndo michepuko siyo mchepuko unawaza papuchi tu

Mxieeeeeeeew
 
Back
Top Bottom