Chepuka kwa akili...

Chepuka kwa akili...

Kuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
Mimi kuna mshikaji wangu time share Dem na bado tuna piga stori ila baada ya miezi mitatu ikibidi nikafanye vipimo maana jamaa alikua na skendo mbovu😃😃Toka siku iyo sigongi Dem bila kufanya nae vipimo
 
Naam
 
Back
Top Bottom