Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,957
- 7,505
Ndio ukweli wenyewe huu, japo Inasikitisha na kuumiza.Hamna mke hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukweli wenyewe huu, japo Inasikitisha na kuumiza.Hamna mke hapa
Kwaiyo anapiga simu wakati yupo korokoroni?Fisi jike naona bado upo banned
Hatar sana!
Kwaiyo anapiga simu wakati yupo korokoroni?
Chepuka tu ila keep it down low..nobody has to know. Kama Kells!!
Sasa we jifanye umezama huko uanze nletea vitimbi!!!! 💪💪💪
Oh... umeeleweka
Leo naomba nisome comments tuu jamani!
Siku ishaharibika hii 😂😂
Pumbavvvv zangu
Mimi kuna mshikaji wangu time share Dem na bado tuna piga stori ila baada ya miezi mitatu ikibidi nikafanye vipimo maana jamaa alikua na skendo mbovu😃😃Toka siku iyo sigongi Dem bila kufanya nae vipimoKuna mdau mmoja juzi aliniambia eti wanaume wanaweza kujua kuwa wanashea mwanamke na bado wakawa wanapatana na kugongeana glasi ila wanawake hatuwezi kwa kuwa hatupendani. Kwa vile sikutaka mabishano nae nikamwambia you are completely right.
NaamMimi kuna mshikaji wangu time share Dem na bado tuna piga stori ila baada ya miezi mitatu ikibidi nikafanye vipimo maana jamaa alikua na skendo mbovu😃😃Toka siku iyo sigongi Dem bila kufanya nae vipimo