Hamna kitu hapoZimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
View attachment 2052687
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari:
View attachment 2052694
Kwa kuzingatia msingi huo, bila shaka basi kwa sasa, utakuwa na majina mazito mazito haya:
1. Prof. Ibrahim Juma
2. Omar Makungu (Zanzibar)
3. Job Ndugai
4. Zubeir Maulid (Zanzibar).
5. Jaji Mohammed Siyani.
6. Jaji Ibrahim Mipawa
Tusaidiane kama kuna nilipotereza kuweka kumbukumbu kuwa sahihi.
CCM mbele kwa mbele 🎼🎼!
Kazi iendelee.
Wajumbe wa kamati ya uteuzi wameteuliwa na Rais.Baadae tena Rais atamteua mwenyekiti wa tume miongoni mwa walioteuliwa na kamati ya uteuz i.sioni tofauti.Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
View attachment 2052687
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari:
View attachment 2052694
Kwa kuzingatia msingi huo, bila shaka basi kwa sasa, utakuwa na majina mazito mazito haya:
1. Prof. Ibrahim Juma
2. Omar Makungu (Zanzibar)
3. Job Ndugai
4. Zubeir Maulid (Zanzibar).
5. Jaji Mustapha Siyani.
6. Jaji Ibrahim Mipawa
Tusaidiane kama kuna nilipotereza kuweka kumbukumbu kuwa sahihi.
CCM mbele kwa mbele [emoji443][emoji443]!
Kazi iendelee.
Hakuna utumwa mbaya kama ule unaojiona upo huru...ndio tume itakavyoundwa🤣Job Ndugai ana kadi ya chama cha CCM
Zubeir Maulid ana kadi ya chama cha CCM
Omar Makungu ana kadi ya chama cha CCM
Una 50% ya members hao wana kadi halali za CCM na ni wana CCM kiofisi
Majaji wote ni washabiki wa CCM japo hawana kadi maalumu...ndio jaji utumbo kama Siyani au Jaji mkuu,maccm!
Hapo hatuna tume Huru,tuna Tume iliyochaguliwa kwa atleast wajumbe 50% wanachama rasmi wa CCM ni tume Huru ya CCM
Hakuna kitu hapo...hatukubali huu umatako
Hii nchi siyo ya wanasiasa, wanasheria na wanaharakati- TUHESHIMIANEZimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
View attachment 2052687
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari:
View attachment 2052694
Kwa kuzingatia msingi huo, bila shaka basi kwa sasa, utakuwa na majina mazito mazito haya:
1. Prof. Ibrahim Juma
2. Omar Makungu (Zanzibar)
3. Job Ndugai
4. Zubeir Maulid (Zanzibar).
5. Jaji Mustapha Siyani.
6. Jaji Ibrahim Mipawa
Tusaidiane kama kuna nilipotereza kuweka kumbukumbu kuwa sahihi.
CCM mbele kwa mbele 🎼🎼!
Kazi iendelee.
Hiyo tume huru mbona wateuzi wake ni wana CCM?Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi.
View attachment 2052687
Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma.
Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari:
View attachment 2052694
Kwa kuzingatia msingi huo, bila shaka basi kwa sasa, utakuwa na majina mazito mazito haya:
1. Prof. Ibrahim Juma
2. Omar Makungu (Zanzibar)
3. Job Ndugai
4. Zubeir Maulid (Zanzibar).
5. Jaji Mustapha Siyani.
6. Jaji Ibrahim Mipawa
Tusaidiane kama kuna nilipotereza kuweka kumbukumbu kuwa sahihi.
CCM mbele kwa mbele 🎼🎼!
Kazi iendelee.
Hiyo tume huru mbona wateuzi wake ni wana CCM?
Tufanye Wananchi Initiative
CCM hawawezi kukubali tume huru ya uchaguzi hiyo ni danganya toto. Wanajua the moment wanaruhusu kitu cha namna hiyo ndio utakuwa mwisho wao.
Makungu ni Jaji mkuu wa Zanzibar?
Tume iliyopendekezwa nafasi zote zinatangazwa na zinagombaniwa kulingana na sifa.