- Thread starter
- #21
Wajumbe wa kamati ya uteuzi wameteuliwa na Rais.Baadae tena Rais atamteua mwenyekiti wa tume miongoni mwa walioteuliwa na kamati ya uteuz i.sioni tofauti.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kesi ya nyani kula mahindi sasa inatolewa kwa hakimu sokwe anakabidhiwa hakimu ngedere.
Binadamu mtaa wa Jukwani anaruka ruka akitegemea sasa hatimaye haki itatendeka 😁😁.