Huko Ethiopia baada ya Abiy Ahmed kufanywa waziri mkuu Ethiopia walianza mabadiliko na tume huru ya uchaguzi hadi kiongozi wa upinzani akaitwa toka uhamishoni akafanywa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lakini nchi bado ikaishia kuparanganyika kwa migogoro mikubwa. Kubadilisha muundo mzima wa utawala kwanza kwa katiba mpya katika mageuzi ni jambo lisiloepukika