GE2025 Cheyo aongoza mkutano mkuu wa UDP mgombea urais, mwenza kujulikana leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii ndio hali halisi ya vyama ambavyo vitachuana na CCM chini ya Usimamizi wa "Tume Huru ya Uchaguzi" kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025.

Huyu hapa Mzee Mapesa akiingia Ukumbini kwa kishindo.

View attachment 3438419

Toa maoni yako.
CHADEMA nyie waongo sana.. Yaani mnatoa taarifa za uongo.Mzee anaenda kwenye mkutano ila nyie makasema eti ameenda kuchukua form..This is pathetic for sure
 
Wakuu

Imenishangaza sana! 😳 John Momose Cheyo ni mzee amechoka kabisa, hata kutembea hawezi bila kushikiliwa, lakini eti anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais.

Hivi huyu mzee yuko serious kweli au hii ni moja ya zile project za CCM ku-brainwash Watanzania? 🤔

Wanakumbuka walivyotuletea wagombea ‘decoration’ ili kugawanya kura na kuua upinzani?

Sasa tunarudi kule kule? Tuweni makini jamani, si kila anayekuja na jina kubwa ni kiongozi wa kweli wengine ni sehemu ya mchezo wa kuhalalisha mfumo uliopo!"
 
Mzee anajaribu ku-Exercise haki yake ya kidemokrasia ambayo vijana wengi tumeshindwa halafu unamwita mpango wa CCM.

Nadhani huku tukijaribu kutoa maoni binafsi mitandaoni tujaribu kuwapa credits Watanzania wenye uthubutu.

Wengi wetu tumekuwa tunawapa majina mabaya ili tusijiskie vibaya maana wanachofanya tumeshindwa kukifanya.
 
Hakika.
 
Mbona Museveni Bado anaongoza nchi? Na Mugabe pia.
Acheni mwananchi agombee kwani katiba inampa hiyo haki
 
Ukiishi kwa ufadhili ndo matikeo hayo,

Yeye hataki ila joka la kiwavi jeshi linataka ili kuiimbia Dunia kuwa uchaguzi ulikuwa na washiriki wengi. Kiwavi anaendesha kampeni ya vyama 15 mwaka huu, kila chama kitapewa magari na fedha kuzunguka nchi nzima na ulinzi wa kutosha.
 
Aisee noma sana, sasa huyu hata akiwa raisi miradi ya maendeleo atakua anaitembelea kweli?
Hizo kura zenyewe ataombaje? Kwa kampeni zipi??
Hapo hata peni anashika na kuandika kweli??
 
View attachment 3439048

Wakuu

imenishangaza sana! 😳 John Momose Cheyo ni mzee amechoka kabisa, hata kutembea hawezi bila kushikiliwa, lakini eti anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais!
Hivi huyu mzee yuko serious kweli au hii ni moja ya zile project za CCM ku-brainwash Watanzania? 🤔
Wanakumbuka walivyotuletea wagombea ‘decoration’ ili kugawanya kura na kuua upinzani?
Sasa tunarudi kule kule? Tuweni makini jamani, si kila anayekuja na jina kubwa ni kiongozi wa kweli wengine ni sehemu ya mchezo wa kuhalalisha mfumo uliopo!"
Huu ni msiba. Inallillah wa ina illaih Raj'uun.
 
Huyu ni moja ya wazee walio firisika akili na mawazo kwa miaka mingi amekua akifanya hivii kwa manufaa yake BINAFSII
 
View attachment 3439048

Wakuu

imenishangaza sana! 😳 John Momose Cheyo ni mzee amechoka kabisa, hata kutembea hawezi bila kushikiliwa, lakini eti anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais!
Hivi huyu mzee yuko serious kweli au hii ni moja ya zile project za CCM ku-brainwash Watanzania? 🤔
Wanakumbuka walivyotuletea wagombea ‘decoration’ ili kugawanya kura na kuua upinzani?
Sasa tunarudi kule kule? Tuweni makini jamani, si kila anayekuja na jina kubwa ni kiongozi wa kweli wengine ni sehemu ya mchezo wa kuhalalisha mfumo uliopo!"
Mkuu huyu hana tofauti na brig Moses Ali wa Uganda ni vituko lakini najiuliza huyu mzee mapesa hana watoto au mke wa kumshauri kuwa sasa mzee huku ni kudhalilisha jina la Cheyo, hizi ni njaa gani jamani mbona watu wanaishi tu bila ya kuwa wanasiasa? hii ni aibu na fedheha kwake na wanafamilia wake na Wanayantuzu wenzake. Hawa wazee wasome alama za nyakati, wasitake watu waje washangilie pale Mungu atakapoingilia kati.
 
Ana ndugu zake humu humu JF 😃
 
Back
Top Bottom