mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,317
- 9,260
Acha upumbavu mkuu, wenzetu ili uwe raisi unatakiwe uwe na akili timamu na afya njema, sasa huyu Mzee hali aliyonayo hata kumukumbuka mwanawe hawezi unataka ndie agombee uraisi hata Biden aliambiwa aondoke kutokana na changamoto ya kiafya sembuse huyu Mzee.Cheyo, kwa hiyo hali kweli atazunguka Tanzania nzima kufanya kampeni au anataka tu ale pesa za wana mbogamboga? hii ni fedheha sana mkuu haifai hata kutetea ujinga huu, tunatakiwa kukemea kwa sauti kubwa utapeli,maigizo na upumbavu huu.Mzee anajaribu ku-Exercise haki yake ya kidemokrasia ambayo vijana wengi tumeshindwa halafu unamwita mpango wa CCM.
Nadhani huku tukijaribu kutoa maoni binafsi mitandaoni tujaribu kuwapa credits Watanzania wenye uthubutu.
Wengi wetu tumekuwa tunawapa majina mabaya ili tusijiskie vibaya maana wanachofanya tumeshindwa kukifanya.