CHADEMA nyie waongo sana.. Yaani mnatoa taarifa za uongo.Mzee anaenda kwenye mkutano ila nyie makasema eti ameenda kuchukua form..This is pathetic for sureHii ndio hali halisi ya vyama ambavyo vitachuana na CCM chini ya Usimamizi wa "Tume Huru ya Uchaguzi" kwenye uchaguzi Mkuu wa 2025.
Huyu hapa Mzee Mapesa akiingia Ukumbini kwa kishindo.
View attachment 3438419
Toa maoni yako.
Hakika.Mzee anajaribu ku-Exercise haki yake ya kidemokrasia ambayo vijana wengi tumeshindwa halafu unamwita mpango wa CCM.
Nadhani huku tukijaribu kutoa maoni binafsi mitandaoni tujaribu kuwapa credits Watanzania wenye uthubutu.
Wengi wetu tumekuwa tunawapa majina mabaya ili tusijiskie vibaya maana wanachofanya tumeshindwa kukifanya.
Kumbe Mugabe bado anaongoza nchi!!! Duh.Mbona Museveni Bado anaongoza nchi? Na Mugabe pia.
Acheni mwananchi agombee kwani katiba inampa hiyo haki
Zaburi 1:1 - 6Barazani kwa wenye mizaha ndio UDP
Huu ni msiba. Inallillah wa ina illaih Raj'uun.View attachment 3439048
Wakuu
imenishangaza sana! 😳 John Momose Cheyo ni mzee amechoka kabisa, hata kutembea hawezi bila kushikiliwa, lakini eti anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais!
Hivi huyu mzee yuko serious kweli au hii ni moja ya zile project za CCM ku-brainwash Watanzania? 🤔
Wanakumbuka walivyotuletea wagombea ‘decoration’ ili kugawanya kura na kuua upinzani?
Sasa tunarudi kule kule? Tuweni makini jamani, si kila anayekuja na jina kubwa ni kiongozi wa kweli wengine ni sehemu ya mchezo wa kuhalalisha mfumo uliopo!"
Huyu ni moja ya wazee walio firisika akili na mawazo kwa miaka mingi amekua akifanya hivii kwa manufaa yake BINAFSIIView attachment 3439048
Wakuu
imenishangaza sana! 😳 John Momose Cheyo ni mzee amechoka kabisa, hata kutembea hawezi bila kushikiliwa, lakini eti anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais!
Hivi huyu mzee yuko serious kweli au hii ni moja ya zile project za CCM ku-brainwash Watanzania? 🤔
Wanakumbuka walivyotuletea wagombea ‘decoration’ ili kugawanya kura na kuua upinzani?
Sasa tunarudi kule kule? Tuweni makini jamani, si kila anayekuja na jina kubwa ni kiongozi wa kweli wengine ni sehemu ya mchezo wa kuhalalisha mfumo uliopo!"
Mkuu huyu hana tofauti na brig Moses Ali wa Uganda ni vituko lakini najiuliza huyu mzee mapesa hana watoto au mke wa kumshauri kuwa sasa mzee huku ni kudhalilisha jina la Cheyo, hizi ni njaa gani jamani mbona watu wanaishi tu bila ya kuwa wanasiasa? hii ni aibu na fedheha kwake na wanafamilia wake na Wanayantuzu wenzake. Hawa wazee wasome alama za nyakati, wasitake watu waje washangilie pale Mungu atakapoingilia kati.View attachment 3439048
Wakuu
imenishangaza sana! 😳 John Momose Cheyo ni mzee amechoka kabisa, hata kutembea hawezi bila kushikiliwa, lakini eti anaenda kuchukua fomu ya kugombea urais!
Hivi huyu mzee yuko serious kweli au hii ni moja ya zile project za CCM ku-brainwash Watanzania? 🤔
Wanakumbuka walivyotuletea wagombea ‘decoration’ ili kugawanya kura na kuua upinzani?
Sasa tunarudi kule kule? Tuweni makini jamani, si kila anayekuja na jina kubwa ni kiongozi wa kweli wengine ni sehemu ya mchezo wa kuhalalisha mfumo uliopo!"
Ana ndugu zake humu humu JF 😃Mkuu huyu hana tofauti na brig Moses Ali wa Uganda ni vituko lakini najiuliza huyu mzee mapesa hana watoto au mke wa kumshauri kuwa sasa mzee huku ni kudhalilisha jina la Cheyo, hizi ni njaa gani jamani mbona watu wanaishi tu bila ya kuwa wanasiasa? hii ni aibu na fedheha kwake na wanafamilia wake na Wanayantuzu wenzake. Hawa wazee wasome alama za nyakati, wasitake watu waje washangilie pale Mungu atakapoingilia kati.