Acha upumbavu mkuu, wenzetu ili uwe raisi unatakiwe uwe na akili timamu na afya njema, sasa huyu Mzee hali aliyonayo hata kumukumbuka mwanawe hawezi unataka ndie agombee uraisi hata Biden aliambiwa aondoke kutokana na changamoto ya kiafya sembuse huyu Mzee.Cheyo, kwa hiyo hali kweli atazunguka Tanzania nzima kufanya kampeni au anataka tu ale pesa za wana mbogamboga? hii ni fedheha sana mkuu haifai hata kutetea ujinga huu, tunatakiwa kukemea kwa sauti kubwa utapeli,maigizo na upumbavu huu.